Relief
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 254
- 47
Ndugu zangu katika Taifa hili la mwenye nacho kuongezewa na asie nacho kunyang'anywa hata kile kidogo alichonacho naomba tuazimie hili la kurudisha uteuzi wa viongozi na baraza la NEC kwenye mikono ya wananchi kupitia Wawakilishi wetu Bungeni. Ni kwa kupitia hili tutapata Uchaguzi ulio huru na wa haki usiofungamana na upande wowote na hatimaye kuwapata viongozi waadilifu.
Wanajamii wenzangu mchango wenu ni muhimu katika hili.
Its about time we call a spade a spade.
JF naomba kusikia kutoka kwako.
Wanajamii wenzangu mchango wenu ni muhimu katika hili.
Its about time we call a spade a spade.
JF naomba kusikia kutoka kwako.