Mkuu wa mkoa wa Arusha afukuzwa soko kuu la Arusha kwa nyanya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa mkoa wa Arusha afukuzwa soko kuu la Arusha kwa nyanya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Henry Kilewo, Nov 15, 2011.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Ktk hali isiyokuwa yakwaida, mkuu huyo wa mkoa alikumbana na dhahma baada ya kutaka kuongea na watu wa sokoni, wakinamama walinyanyua nyanya zao na karoti na kumpiga nazo na yeye kukimbia.

  Vyombo vya hanari vyawasiliana na Mh Lema kuhusu tukio hilo, Lema asema, wananchi wameamua kuwasilisha hisia zao kwa viongozi wanafki na amewataka wananchi kutomwogopa mtu yeyote yule, na anaunga harakati zao za kudai haki.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  kifo hicho cha wana magamba. Ng'atukeni kabla hali haijawa mbaya zaidi
   
 3. z

  zamlock JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  sasa kazi hyo
   
 4. Innobwoy

  Innobwoy JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 980
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 60
  how long,not long
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,813
  Likes Received: 36,858
  Trophy Points: 280
  ipo siku wajenzi watamtupia matofali, mafundi watamtupia spana, walimu watamtupia chaki,wakulima watamtupia majembe na wa mwisho ni wasio na chochote mikononi wataokota mawe na kumtupia na ndo hapo atagundua misingi ya haki za binadamu inaumuhumu kuzingatiwa na kuheshimiwa na dola.
   
 6. Jean chill

  Jean chill Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Du kama kweli imetokea hivo... Basi Mh anatakiwa kufikir mara mbili..
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  huyu RC ameshatengeneza uadui na wananchi wa Arusha, maisha yake na familia yake yatakuwa machungu sana
   
 8. m

  mwanawasi Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Actions speak louder than words,hasa kwa serikar ya Tz...expect more to come....
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  KWELI WANAWAKE WAKIAMUA WANAWEZA!i
   
 10. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  safi sana
   
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Huyu Mkuu wa mkoa amekuja hapa akifikiri atapambana na cdm. Hakujua kama cdm ni watu! Yatamkuta yaliyomkuta Kandoro Mby!
   
 12. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hii habari imenifariji sana, hata kama sio kweli mimi ninaikubali hivyohivyo na muda si mrefu naenda kuisimulia kwenye kijiwe cha Castle Light waungwana wenzangu wajue.
   
 13. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ngoma inogile kwani hakuwa na polisi?
   
 14. n

  ngoko JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa mwendo huu tutashuhudia siku moja anatupiwa mayayi mabovu
   
 15. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kwa kweli nimeamini tunaweza.
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkiwezeshwa mnaweza...
   
 17. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,668
  Likes Received: 21,901
  Trophy Points: 280
  Hiyo inaitwa 'pamoja na salam za kinamama wauza nyanya sokoni'
   
 18. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,813
  Likes Received: 36,858
  Trophy Points: 280
  kenge huwa hasikii mpaka umtandike hadi damu zimtoke masikioni.
   
 19. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Na bado kudadadaki ngoja kinuke tutawazingua
   
 20. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  halafu utasikia wanakanusha
   
Loading...