Ni mabalozi wa nchi zipi hao waliosemwa leo kushirikiana na wapinzani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni mabalozi wa nchi zipi hao waliosemwa leo kushirikiana na wapinzani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Soki, Nov 16, 2011.

 1. S

  Soki JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,301
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hivi ni mabalozi wa nchi zipi hao waliosemwa leo asubuhi bungeni wakati mchangiaji wa kwanza alipoanza kuchangia muswada huu wa maswala ya katiba?

  Alikuwa analalamika kwamba kuna baadhi ya mabalozi wanakuwa upande wa Upinzani katika swala hili la katiba.

  Na kama ni kweli kumbe wanaogopa pressure from outside!!
   
 2. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,043
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Inabidi wajiulize mara mbilimbili kwa nini mabalozi wa side upande wa pili?
   
 3. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 988
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama wapo hao mabalozi basi ni vema wakajieleze kwao haraka wasije tunyima misaada - we know you are accountable to them not to wananchi. Hukumbuki mara baada ya mauaji ya Arusha Mkuu wa kaya aliwaomba radhi na kuahidi kuwa haitatokea tena.
   
 4. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hii ina maana CCM wao hawafikirii kuwa Wapinzni???

  Sasa kama Mabalozi wanasaidia Upinzani basa CCM nao wasubiri watakapo kuwa Wapinzani watapata msaada
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ccm wamechanganyikiwa walimaanisha mabalozi wa nyumba kumi kumi
   
 6. rasmanyara

  rasmanyara Senior Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Uoga 2 na kujiami kwa zambi zao.sababu sio wageni wao na mbona wageni wao kama hao huwa hawakui na uoga uo?mafisdi
   
 7. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,119
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Mbunge wa Ccm dakika 10 kuzungumzia Walk out ya cdm. Dk 4 kumsifia rais kwa tendo la historia kuruhusu nchi kupata katiba. Dk 1 wananchi tuungeni mkono. Halafu unatoka kifua mbele na hizo pumba. Ccm haina mashiko tena masikio mwa mtanzania.
   
 8. k

  kipinduka Senior Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huo ni mtazamo wako,kwa nn u2semee watanzania wakati huja2hoji,acha pumba
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 17,333
  Likes Received: 3,597
  Trophy Points: 280
  Ndio hata sisi tunashangaa hiyo kauli.
  Mi nadhani mkuu hapo ungemuuliza huyo bwana alieropoka hivyo bungeni, huenda labda ndio wale wanaosinziaga Bungeni wakikurupuka wanaanza kuchangia walichokiota.
   
 10. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,206
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wa ujerumani anasaidia CHADEMA
   
 11. Mwamikili

  Mwamikili JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  they think brother!!!!! wao kazi yao kupiga makofi hata vitu vya kijinga hata simple IQ inang'amua!!
  ''
   
Loading...