Wanaharakati, CDM, wanafunzi vyuoni toeni muda sawa kufanikisha maandamano nchi nzima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaharakati, CDM, wanafunzi vyuoni toeni muda sawa kufanikisha maandamano nchi nzima

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M-pesa, Nov 17, 2011.

 1. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa wadau wasioridhishwa na mwenendo wa serikali ni wengi na wapo karibia kila kona ya nchi yetu. Kwa uchache tu ni pamoja na wananchi wote kwa ujumla wao, wanafunzi vyuoni, wanaharakati, chadema na wafuasi wake maelfu elfu, wafanyakazi n.k
  Na kwa kuwa kikundi cha watu wachache wanaoghilibu wananchi na kuamua kuitunga katiba kwa manufaa yao, huku wakiendelea kupata upinzani mkali nje na ndani ya nchi bila kukubali.

  Njia pekee ya kufanikisha maandamano makubwa nchi nzima ni kuungana na wadau wote wanaokerwa na haya mambo ya kishenzi yanayofanywa na serikali ya CCM.

  Kuungana kwenyewe ni kupanga kwa kutoa tamko la tarehe moja ya maandamano bila kikomo kwa kila kundi nchi nzima.
   
Loading...