Muswada kuahirishwa: Serikali Imesoma Alama za NYAKATI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muswada kuahirishwa: Serikali Imesoma Alama za NYAKATI?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yakuza, Nov 17, 2011.

 1. Yakuza

  Yakuza Senior Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Wapendwa wanajamii

  Jinsi mambo yanavyoenda ndani ya Serikali ya CCM, kuna uwezekano Muswada tete ukaahirishwa...hadi Bunge la Feb 2012.

  Naomba tuwe wavumilivu hadi hapo kesho jioni....
   
 2. Imany John

  Imany John Verified User

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,781
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  Tetesi izo umezipimaje?
   
 3. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  liwe liwalo tutapambana nao
   
 4. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lisemwalo lipo na kama halipo lada, hata budget ya ngeleja waliarisha
   
 5. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unajua hakuna mtu anaye ishi bila kichwa...CDM kichwa cha Tanzania
   
 6. Yakuza

  Yakuza Senior Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Itakuwa aibu kubwa kwa wabunge wa CCM na CUF kwa jinsi walivyoponda wenzao wa CDM na NCCR-Mageuzi.....
   
 7. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  itakua kipindi kizuri sana kwetu chadema kuendelea kuelimisha umma
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  nani zaidi.
   
 9. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  thibitisha hili mkuu ili comment kitu cha maana
   
 10. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  Katiba tunayoitaka ni muhimu iwe ya WATANZANIA, sio ya chama fulani---CCM/CDM/CUF. Tunataka katiba ya Watz. Sasa kumeibuka kundi ambalo linajiona ndio TZ, Tutafika kweli namna hiyo. kesho vurugu zikitokea utawasikia wachochezi hao wachochezi hao akina, nani?
  hakuna majibu, hivi CCM wakiruhusu wananchi wakatoa maoni yao namna wanavyotaka watawaliwe, wao (CCM) kinawauma kitu gani?

  Sana sana tunachoshuhudia sasa ni kampeni za udini tu,
   
 11. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,509
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Kama hili litatokea, itabidi hao akina Ole Sendeka sijui, Lusinde, Wasira, Kombani........................ wawajibike kwa kuwadanganya Watanzania!!
   
 12. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Ila Serikali ina dharau sana na kwa kweli kuna wabunge vilaza nchi hii na wavivu wa kusoma............ Bora wahairishe kwani hakuna kitu walichochangia katika bill hii............. Ni ushabiki tuu na upofu wa makusudi wa kuona umuhimu wa kuwashirikisha wananchi, CCM wanachoshindwa kuadmit ni ukweli kuwa hawaaminiki tena, nawashauri wabunge wa CCM warudie kusoma hotuba ya Tundu mstari kwa mstari halafu watafakari kwa maslah ya taifa hili vinginevyo hakuna haja ya kuendelea na hizo kelele zao hapo DDM
   
 13. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Dah...ila kichwa cha habari...! Mimi nilifikiri muswada umeshaahirishwa kumbe.........!
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hata wakiupitisha, utarudi tuu tutaandamana mpaka magogoni! nchi si ya CCM hii
   
 15. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #15
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Jiwe walilolikataa waashi.....
   
 16. V

  Vitalino mlelwa Member

  #16
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi na shangaa ushawahi kuona mwili ukitumia kiwiliwili kufikiri? Nakama haiwezekani nachoelewa kichwa cha bunge ni wabunge wa cdm sasa kama hawapo bungeni we unafikili zaidi ya kugonga meza kuna lamaana pale so automaticaly lazima wafanye hivo wakijifanya wanapitisha tutawaona watakakokwenda baada ya kutoka bungeni kwani tunapenda ujinga sisi!
   
 17. M

  Mbonafingi Senior Member

  #17
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua CCM wanafikiri wananchi bado wamelala hawajui nini wanataka. ndio maana wanaendelea kufikiria mawazo yao ndio yanawakilisha mawazo ya wa tz. bado najiuliza kusingekuwa na mfumo wa vyama vingi wangetupeleka wapi hawa magamba wanaojiona Miungu watu? Hivi tu wanaonyesha jeuri isiyo na busara. Ole wao wanaweza wasifike hata 2015 waendelee kuweka rekodi kama ya EL. Peoples power
   
 18. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #18
  Nov 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hizi ni tetesi tuuu huyu kakaa nakuibandika hapa bagamba hawawezi kukubali wataipitisha tuuu!
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  unachezea sisiemu wewe
   
 20. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Hivi inawezekana kupanga mechi ya kirafilki kweli tuone kati ya Bongo kweli na Masaburi kweli Ana B wao ni nani zaidi?
   
Loading...