Ushauri wako katika taifa kuhusu muswada

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Kesho ndo bunge la Ccm na serikali vinatarajiwa kuupitisha Muswada wa sheria ya marekebisho ya Katiba! Unawashauri wafanye nini kipindi hki? Kama kweli wananchi walio wengi wanapinga uwasilishwaji wake bungeni! Unadhini nini athari zinaweza kutokea katika taifa iwapo ushauri wako utapuuzwa na wabunge hao na serikali? Chadema wao waonya kuchukua hatua nyingine iwapo utapishwa kama sheria rasmi!
 
Back
Top Bottom