Eng. Stella Manyanya atangaza vita

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.
 
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.

Hilo ni KOSA kubwa sana, ndiyo maana wengi wetu hatutaki kuona WABUNGE wanateuliwa kuwa WAKUU wa MIKOA. Huwezi kuwa mtunga sheria na msimamizi wakati huo huo.
 
Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Serikali dhidi ya Wananchi.
Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi dhidi ya Serikali.
Sasa Mkuu wa Mkoa awe huyohuo M'bunge!!!!
Hii kitu inachanganya kwa kweli
 
Hilo ni KOSA kubwa sana, ndiyo maana wengi wetu hatutaki kuona WABUNGE wanateuliwa kuwa WAKUU wa MIKOA. Huwezi kuwa mtunga sheria na msimamizi wakati huo huo.

Ama kweli hawa ndiyo waliokuwa wanajitangaza wapambanaji kumbe uozo mtupu! Anathibitisha madai kwamba wakuu wa wilaya na mikoa wamekua wanatumika kunyanyasa wapinzani.
 
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.

Mpuuzr tu! Manyanya ndio nin? Bora angeitwa MANDIZI, MAVITUNGUU au MAEMBE!
 
Naona amepewa URC ili apunguze maneno naona ndo Kilango nae anachotaka!
 
Stella Manyanya(Zamani mpiganaji wakati wa Richmond) sasa hivi katuacha, ila onyo langu kwake mambo haya anatakiwa ayaendee polepole, lazima ajue kila jambo lina sehemu yake na wakati wake, kwa ushauri wangu wa bure kwake ni kuwa, mule mjengoni ameingia kwa tiketi ya ubunge yaani mwakilishi wa wananchi(pamoja na kuwa amepitia Magamba) kwa serikali yake, sasa amejisahau, je ni kusema amelewa madaraka! au ndo tayari amekuwa 'brain washed'? Onyo kwake ni hili (Mwanzo 4:6-7), sema Amen.
 
Hii nchi ya ajabu sana na naona tunaelekea katika udikteta soon. Huyo mbunge simlaumu nadhani hajui asemalo ameshalewa madaraka. Nalaumu mfumo mzima wa nchi unaruhusu masuala hayo kuendelea. Inashangaza mtunga sheria ndio mtekelezaji sheria. Unakuta mbunge ndio mkuu wa mkoa. Mbunge ndio waziri . Mnadhani bunge litakuwa na uhuru kweli narudia tena Tanzania political system is system full of corrupt bureaucrat. Hakuna kitu hapo!
 
Atangaze vita na mume wake ili asije akawa SHOGA. Lakini vita na wananchi haiwezi, ataishia kujikuta amelala makaburini baada ya kucamerouniwa.
 
Muoneeni huruma huyu mama kwani bado anamuuguza mwanawe mlemavu wa miguu. Anastahili kupuliziwa, stress zimemzidi mno
 
Yaani kule kumejaaa kenge tupu sijui akili zao ziko wapi huko
 
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.

Uuuuwwwwiiiiii hahahahahaha nchi ni yake peke yake?
 
hahaha hizi comment, nimebaki kucheka. Hivi wanapitaga kweli kujua mitazamo ya wananchi!
 
tatizo lao wakisha pewa madaraka wanajisahau, ss anaanza kuongea pumba. tulimwamini sasa naona kaambukizwa pepo aliyenaye Pinda. afanyiwe maombi!!!!!>>
 
Back
Top Bottom