Rais kuteua bunge la muswaada wa katiba mpya

Nyamburi

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
306
36
Wadau hii mnaona hiko sahihi kweli kwa rais kua ndie kua mtu pekee atakaeunda tume atimaye bunge la mchakato mzima wa katiba mpya!imekaaje hii wadau!
 
Umeipata wapi?kwenye huu mswada unaofusha moshi ama hii ni latest news kwako?
 
Wacha wafu wazikane. Mimi sina shaka na kizazi hiki ambacho kinadhulumiwa na hawa watumwa wa kujitakia. Wote watafurumushwa kama Gadafi.
 
Hakuna bunge la kuteuliwa kokote duniani ni hapa kwetu tu. kweli wabunge wa ccm wamelaaniwa
 
Wacha wafu wazikane. Mimi sina shaka na kizazi hiki ambacho kinadhulumiwa na hawa watumwa wa kujitakia. Wote watafurumushwa kama Gadafi.
sawia kabisa mkuu,hawa watu wameshabanwa kwenye kona,hawana pa kutokea,ndio maana wanatapatapa!mabadiliko ya kweli yanakaribia,ndio maana wamejawa
na uoga!
 
Hakuna bunge la kuteuliwa kokote duniani ni hapa kwetu tu. kweli wabunge wa ccm wamelaaniwa

wanafikia tamati,ndio maana wanatapatapa na kuonekana vichekesho kwa wananchi...watanzania wameamka sasa.
 
Back
Top Bottom