Mnyika JJ uko wapi? kwanini bunge linawashutumu nchi rafiki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika JJ uko wapi? kwanini bunge linawashutumu nchi rafiki?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kweleakwelea, Nov 17, 2011.

 1. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Hi wanajamvi.

  kuna kauli za kilevi ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya vigogo wa CCM na serekali hapo nyuma kuwa balozi zao zinafadhili upinzani.

  mmoja wapo alikuwa sophia simba na bernad membe ambao waliomba msamaha mara moja...

  leo hii tunasikia tena bungeni kauli kuwa balozi zinafadhili vurugu na maandamano....

  kwa nini wasijieleze na kutoa ufafanuzi?

  j j mnyika, katibu wa wabunge na mkurugenzi mambo ya nje hebu walime barua!

  naomba kuwakilisha
   
Loading...