Italy wameunda serikali mawaziri wote 16 ni wana taaluma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Italy wameunda serikali mawaziri wote 16 ni wana taaluma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigogo, Nov 17, 2011.

 1. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hivi hawa wanawezaje?natazama tv hapa pm wa italy kaunda serikali yenye mawaziri wote 16 wanataaluma hakuna mwanasiasa hata mmoja...hapa kwetu tunahangaika na midubwana kama akina wassira...ahghhhhh
   
 2. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  serikali yetu kuuuubwa hadi sokwe mtu naye kabuniwa wizara yake aongoze!
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  hii serikali yetu sio ya wana siasa wala nini.hii ni serikali ya kishikaji.mia
   
 4. howard

  howard Senior Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yaani hii nchi inaongozwa na kikundi cha wahuni wachache wanaamua wafanye nini as if nchi ni ya kwao wao tu, wanaamua wanalotaka sasa WASSIRA ana kazi gani pale
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  CCM ina mbunge mmoja ni mganga wa kienyeji.
  Mbunge wao mwingine ni mchawi, alikutwa bungeni akimwaga ndumba na ngae
   
 6. I

  Iguguno Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ati?usitake nicheke
   
 7. anayo

  anayo Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Selikali inayo jitegemie ,wabunge waio mawaziri,wala hawapo katika bodi aina yoyote hiyo,ndio nzuri maana hakutakuwa na kuoneana aibu katika utendaji wa kazi siku zote,kulio serikali hii yetu ,wewe mwenyewe mbunge,alafu ni waziri,nani atakaye muhoji mwenzake sasa?
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  siyo wanasiasa tu bali ludo la wanasiasa 52 wakiwemo PM na AG
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kheee nilisahau pinda..hivi yupo bungeni
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mkuu italy hakuna manuals. Ni technologies at work.
   
Loading...