Makinda azungumza na waandishi; afafanua jina lake, akataa kuomba radhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makinda azungumza na waandishi; afafanua jina lake, akataa kuomba radhi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, Mar 11, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Spika wa Bunge la Tanzania ametoa ufafanuzi kuhusiana na jina lake. Anasema jina lake ni Anne Makinda na wala sio Anna Makinda. Zaidi ya matamshi, kuna tofauti yoyote kati ya majina Anne, Ann, Anna na Hannah?
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Jamani kweli hatuna Spika...katika hili nahisi nadhani kuna haya yafuatayo...............


  1. Spika kaanza kuwa sista-du na anaitaji haonekane kijana wakati ni bibi
  2. Baada ya kuukwaa uspika anataka jina lake lionekane kuwa ni la kizungu
  3. Spika anataka kudhihirisha tabia yake ya uswahili aliyoanza kuionesha wakati wa kikao cha bunge lililopita kwa kuruhusu mipasho bungeni
  Nadhani Anna Makinda unapaswa kujua wewe ni bibi acha ujinga jamani....
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Anna Makinda, kwani yeye njiwa?

  Anne Makinda ndio sahihi kwa muono wangu.
   
 4. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Sura mbaya ngoja ajifariji kwa kubadili jina labda atajihisi ni mrembo.
   
 5. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Makinda ipo pale pale, Majina ya kibantu ni deal, haya ya kizungu hovyo kabisa, very confusing!
   
 6. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,743
  Likes Received: 6,018
  Trophy Points: 280
  Vitu hivi vidogo dogo ndio vinaonesha hata IQ zetu zilivyo. Badala ya kuzungumzia masuala muhimu ya kitaifa tunaanza kubishania majina; kama kuna tatizo kwenye jina si suala la kwenda tu RITA (Uzazi na Vifo). One's name (whether spells good or bad) doesn't matter, what is important is OUTPUT. Shame on us.
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  It makes no difference akitaka ajipachike na a.k.a tu tutamuelewa!
   
 8. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Anapoteza muda wake. Nina hakika 100% waswahili tutaendelea kumuita Anna Makinda (Anamakinda), hata afanyeje. Habari ndiyo hiyo. Akibisha, tupinge!
   
 9. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Whatever!
   
 10. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Yeah, you are right!
   
 11. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Afadhali angerekebisha matendo yake kuliko kuhangaika na jina lake. Jina lake halina tija kwetu zaidi ya kumtaka aendeshe bunge kiungwana
   
 12. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  It doesnt matter!! It is not an issue
   
 13. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Makimba? Mmh! Tafsiri nyingine sasa!
   
 14. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Haswa, yaani hiyo ndio sababu ya kutaka kubadilisha jina lake? Ni vigumu kwa sisi waswahili kusema Anne, tumezoea Anna aisee.
   
 15. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Jina litatusaidia nini politically? what we need is CHANGE political change not name change.
   
 16. k

  kimalando Senior Member

  #16
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  So what? Kaishiwa hoja au? Hoja za msingi anazizima bunge halafu anakuja na upupu wake uzio na tija!! Shame upon her.
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Mama yuko popular, watu wana discuss jina lake. Mwacheni "selebriti" wetu.
   
 18. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kweli hapa anaonyesha jinsi IQ yake ilivyopumzika! Kama anataka kueleza tofauti ya anna na anne basi angetuambia kwa nini yeye ni anne na sio anna! What is in the name?
   
 19. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Definitions za majina yako inatusaidia nini sisi, tunachohitaji kuona ni utendaji wako bungeni.
   
 20. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,053
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Kama Ana Makinda kwenye akili na maamuzi yake tusiseme? Ana Makinda kweli.
   
Loading...