Dharau kwa Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dharau kwa Watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaga Michael, Nov 17, 2011.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,874
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Tanzania siyo nchi yenye uwezo wa kumiliki gari la wagonjwa lenye miguu mitatu, Tunaiomba serikali iache dharau kwa Raia wake, huu ni utovu wa nidhamu ulio waziwazi wa wananchi wa taifa la Tanzania! Vp wewe kama wewe unalitazamaje kwa ufahamu wako??
   
 2. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,280
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  Hii ni dharau kubwa sana, wao wakiugua mafua wanakimbizana kutibiwa nje ya nchi kwa gharama kubwa; raia wa kawaida ndo abebwe kwenye bajaj inasikitisha ndg.
   
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,600
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Kama hii? Mbona hata UNICEF & JAPAN wamedhamini?
  [​IMG]
   
 4. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,159
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tulishajidharau wenyewe kwa kuchagua serikali ya ajabu ajabu sasa unauliza swali la namna gani!

  'your hunting grounds determines what pray you will catch'
   
 5. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizo ndio mikakati ya Dr. Jk
   
 6. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,159
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  UNICEF na JAPAN kudhamini hakujustfy uhalali wa huu ufukunyuku, kwani hata wewe ukiambiwa umtengenezee panya kitanda utatengeneza kama cha binadamu?
   
 7. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 755
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nimemini yale ya rostam aziz kuwa watanzania tuna siasa uchwara. Ina maana kila kinachofanywa na serikali ni matatizo kwa wananchi? inamaana toka JK aingie madarakani hakuna ambacho amekifanya cha maana? Jamani tujifunze kukubali jema na kuakataa baya
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,600
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Vipi kaka na hii zimamoto vipi moja kila KATA inakuwaje?

  bajaji.jpg
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Hivi hii ndiyo ile ahadi ya Kikwete? Mungu wangu!
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180