CHADEMA watoka tena bungeni, Mrema naye atoka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA watoka tena bungeni, Mrema naye atoka!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tizo1, Nov 14, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jaman Wabunge wa Chadema wametoka tena nje ya bunge, inapendeza sana
   
 2. drmkumba

  drmkumba Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wind of change is blowing towards Tanzania.Watanzania wa leo sio wale wa mwaka 1947 hawabuluziki tena.
   
 3. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  This is the time of changes..no one will change this...now way to avoid this..We will and together we can
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kwann wametoka nje,tujuzeni wanaJF wengine hatuna access na tv.
   
 5. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huu ni upuuzi mtupu

  ======
  Leo CHADEMA wametoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya mjadala Muswada wa Katiba Mpya kuanza kujadiliwa.
   
 6. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  leo ni siku ya mwisho kutoka vumilia
   
 7. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  siku ya mwisho vipi?
   
 8. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  leo si ndo wanahitimisha mswada
   
 9. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Naona mbunge anawashambulia mabalozi waliofika leo bungeni,kuna mabalozi kibao wameingia bungeni leo.
   
 10. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  upuuzi kiaje mkuu! fafanua please!
   
 11. l

  luckman JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Upuuzi kivp?ukitoa thread yako jaribu kudadavua unachotaka kusema na kukilink na mada yako hapo juu, mtoa mada hajafunguka sasa sijui tumsaidieje!
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Mbona thread yako ina kidole tu? haina viungo vingine? hebu iweke sawa usiwe na haraka kama vile unakata gogo huku unaachwa na gari...
   
 13. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Hueleweki unasema wametoka mara upuuzi mtupu..kuwa wazi wametoka lini na upuuzi hapo ni kutoka ama ni kutotoka!!!
   
 14. l

  luckman JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Funguka, ukitoa mada dadavua!
   
 15. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wametoka kama dk 15 zilizopita
   
 16. c

  cutienoe Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wabunge wa upinzani wameamua kulisusia Bunge la CCM, Mrema awa wa mwisho kutoka.....Ni lini CCM itakubali kushindwa kuongoza nchi hii??
   
 17. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,412
  Likes Received: 1,968
  Trophy Points: 280
  Mrema katoka siamini! labda alikuwa kalala anamwaga maudenda kushtuka anakuta watu wanatoka akafikiri bunge limeahirishwa. Mrema sio mpinzani anaganga njaa.
   
 18. O

  Obinna Senior Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mpaka watakapomaliza rasili mali za nchi hii.
   
 19. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hii leo au? CUF nao wamo?
   
 20. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Wewe ndo mpuuzi unayeogopa! Ndo maana hata huwezi kuthubutu kugombea uongozi wowote kupitia upinzani; mtu mwenye akili timamu hawezi kuosha nguruwe pasipo kusafisha banda la nguruwe!

  Tunachokitaka ni bunge kutenda usawa!
   
Loading...