Wabunge wa CCM wanataka kutupeleka tusipo taka inaonekana hawana haja na katiba mpya ndio maana kila anae changia hajikiti kwenye mswada mda wote umepotea kumjadili Tundu Lisu kwa bahati mbaya...
Ni dhahiri kabisa kuwa ameshindwa kuinua uchumi wa nchi na badala yake ameendelea kuudidimiza. Katika hali hiyo hakuna kitu chochote cha maana atakachokumbukwa na Watanzania na hata kizazi...
Tanzania ya leo inahitaji katiba ya nchi iliyotokana na mapendekezo ya wananchi ili ipate uhalali (Legitimacy) ya kuheshimiwa. Mjadala wa muswada wa katiba unaoendelea sasa umekuwa ukipingwa na...
i
huku wanadai katiba mpya
maandalizi ya kula bata kwa kisingizio cha miaka 50 ya uhuru
Z'bar wanapanga maandamo ijumma hii hawaupendi kabisa muungano wetu
CDM hawaingii bungeni wanasambaza...
Maelfu ya waandamanaji katika mji wa
New York wameendelea na harakati
zao wakielekea kuvuka daraja la
Brooklyn, kuonyesha ghadhabu zao
dhidi ya kuendelea kuwepo matabaka
nchini humo...
WAKUTANA NA OFISI YA SPIKA, UPINZANI BUNGENI DODOMA
MVUTANO baina ya wabunge wa Chadema na NCCR Mageuzi kwa upande mmoja dhidi ya Serikali na wabunge wa CCM kwa upande mwingine, umevuta nchi...
Swala la muungano wa Tanganyika na Zanzibar limekuwa likizua mijadala kila kukicha, hasa inapofikia kwenye mahali ambapo zanzibar na Tanganyika wanatakiwa kushiriki pamoja katika maamuzi makubwa...
Ndugu watanzania wenzangu naomba niwakumbushe hii dhana tunayoenda nayo yakusema nikwa maslahi ya chama itatufikisha pabaya watanzania na laana ya watanzania itawaangukia nyinyi!mimi binafsi...
Ndugu wadau dalili zinaonyesha kuwa CCM wanajipanga kumuongezea Rais Kikwete muda wa miaka miwili kwa kisingizio cha kuandaa mazingira mazuri kwaajili ya katiba mpya. Moja ya wabunge wa CCM...
Twelve years after his death Mwalimu Julius Kambarage Nyerere will be immortalized once again after a new collection of his speeches and other literal works will be published by the foundation...
Ukifuatilia hoja za wana CCM kama vile Jenista Mhagama Bungeni utashangaa. Wanajisahau kiasi kwamba wanadhani katiba ya nchi ni mali ya CCM. Muda huu siyo wa CCM kudanganya wananchi. Huwezi...
Ndugu zangu,
Kuna kisa cha kijana aliyehangaika sana kuusaka ukweli. Katika pitapita zake akaliona duka. Kibao kimeandikwa dukani ; Hapa tunauza ukweli.
Dukani hapo ukweli unauzwa kwa...
Taarifa zangu za kiintelijensia zimenipasha kuwa leo viongozi wa Jukwaa la Katiba watakuwa na kipindi Live Mlimani TV kuanzia saa mbili unusu usiku. Naamnini wanaweza kujibu hoja nyingi...
Imenishangaza sana serikali ya namna hii, yani inashindwa kuwapa wanafunz loan wasome eti wanasema kwamba serikali haina hela!!!, af wanapat hela za kuwalipa DOWANS na RICHMOND!!!!!!!!! Hiv kweli...
Kama ilivyo BOT na TRA, hawa National Audit according to website yao hawana management
hebu cheki hii website:
National Audit Office of United Republic of Tanzania
Kwa wale mnaopata KBC na citizen muwe mnafuatila bunge la kenya mjifunze. Ukiwaangalia wabunge Kenya ni makini sana na wana hoja nzito na wanakuwa wamesoma na kuwa na uelewa wa mambo kabla ya...
Ndugu Watanzania Wany'onge,
Nina masikitiko makubwa kwa hayo ambayo yanatendwa na walioshikilia dola. Kusomwa kwa mara ya pili kwa mswada na kushindwa kuwasikiliza walio wengi (Watanzania) kwa...
Godfrey Dilunga-Raia Mwema
NOVEMBA 14, mwaka huu, Serikali kupitia kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani, iliwasilisha Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba mpya.
Muswada ambao...