Jukwaa la katiba waiweka nchi pamoto rais kubwabwaja:

Mchaga 25

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
464
114
Amini usiamini mkubwa kakamatwa pabaya, ndoa wazanzibar twaivunja na Jukwaa la katiba wanataka maandamano nchi nzima, CHADEMA NA NCCR nao wako juu katiba katiba sasa mkuu wa kaya kuvunja ukimya kama issue ya mgaya:

Kwa Taarifa za kiitelegensia leo nikupiga mkwara kwa kwenda mbele nitawapositia hutuba humu hivi punde.. TISS ndio wamemuambia japo alikuwa hataki phrase ilikuwa hivi " you talk now or never" kaamua now.


Mkuu wa kaya kakamatwa pabaya....
 
Back
Top Bottom