JK kutosaini muswada kuwa sheria

JK kutosaini muswada kuwa sheria

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Kuna tetesi kuwa jana JK alikutana na upinzani mkubwa wa wabunge baada ya kutaka mwafaka na wapinzani kama wazee wengi walivyoshauri wabunge walimweleza wataweka wapi nyuso zao kama hautapita. Hivyo wakashauri lazime upite baadae wangalie upepo utakapoelekea. Habari ndiyo hiyo.
 
Chanzo cha habari, hatutaki majungu hapa ni mahali pa ukweli tu, confirmed sources of information. Tupe chanzo na evidence
 
Haya ni mawazo yako au una reliable source: TUPE SOURCE
 
Hizi hadithi za kusadikika za Shaaban Robert zimeshapitwa na wakati...mnatuletea ushigongo humu..mtu umekaa umebuni unaleta hapa as tetesi..sema haya ni mawazo yako kiazi we.

yani unajifanya shigongo wewe?? Maana yule utamskia "Kulikua na msichana mrembo mwenye shingo ndefu kama twiga..baada ya wazazi wake kufariki shingo ikawa ya uvugu vugu"

Yani nina hasira na ccm..nina zao
 
Mumeambiwa hizo ni tetesi sasa mnataka source za tetesi ziwe gazetini.
 
Kuna tetesi kuwa jana JK alikutana na upinzani mkubwa wa wabunge baada ya kutaka mwafaka na wapinzani kama wazee wengi walivyoshauri wabunge walimweleza wataweka wapi nyuso zao kama hautapita. Hivyo wakashauri lazime upite baadae wangalie upepo utakapoelekea. Habari ndiyo hiyo.

kweli ndugu?
 
Tutapigwa faini au kufungwa wengi coz lazima niifanyie fujo tume itakaynundwa.
 
HV akili za huyu mtu mnazionaje?
Msahau atasaign tuu mtu mwenyewe si wakuuumiza kichwa!
 
Nachukia watu kuleta utani wakati taifa lipo kwenye simanzi kubwa, hivi wewe unaelewa maana ya kitu kinaitwa KATIBA?, usilete mchezo wakati watu tunahasira kali sana na bado tunafikiria nini tufanye.

Ndugu Watanganyika wenzangu hivi tutawaacha ccm watuchee mpaka lini?, Dr Slaa uko wapi?, Mnyika, Kafulila, Zitto na wapambanaji wengine mliopo bungeni mnakubali hiki kituko jamani? Mh Lissu Tufanye nini? tupe mwongozo nini kifanyike baada ya wao kuanzisha mchakato wa kuunda tume ya kutunga katiba ya ccm, maana haya ni matusi makubwa watu kuchezea maisha ya kizazi chetu.
 
Hizi hadithi za kusadikika za Shaaban Robert zimeshapitwa na wakati...mnatuletea ushigongo humu..mtu umekaa umebuni unaleta hapa as tetesi..sema haya ni mawazo yako kiazi we.

yani unajifanya shigongo wewe?? maana yule utamskia "Kulikua na msichana mrembo mwenye shingo ndefu kama twiga..baada ya wazazi wake kufariki shingo ikawa ya uvugu vugu"

Yani nina hasira na ccm..nina zao

Sasa jamaa mbona unahusisha hasira zako na watu mashuri kama Shigongo??Binafsi nafikri Shigongo sio mtu wa kubezwa hata kidogo labda kama unasababu za kumkaumu utufahamishe,huyu shigongo innovative kuliko unavyofikri so usimtolee mifano mibaya jamaa
 
Ngojeni pachimbike ndo watajua madhara ya maamuzi waliyofanya
 
Sasa jamaa mbona unahusisha hasira zako na watu mashuri kama Shigongo??Binafsi nafikri Shigongo sio mtu wa kubezwa hata kidogo labda kama unasababu za kumkaumu utufahamishe,huyu shigongo innovative kuliko unavyofikri so usimtolee mifano mibaya jamaa

shigongo ni vuvuzela namba moja.Mwaka jana alitembea sana usukumani kwenye mikutano ya magamba akimlaani Slaa.Magazeti yake ya Udaku ni Clouds no. 2
 
Sasa jamaa mbona unahusisha hasira zako na watu mashuri kama Shigongo??Binafsi nafikri Shigongo sio mtu wa kubezwa hata kidogo labda kama unasababu za kumkaumu utufahamishe,huyu shigongo innovative kuliko unavyofikri so usimtolee mifano mibaya jamaa

Shigongo si magamba tu na yeye! Unakumbuka alishindwa kura za maoni ndani ya ccm? angeshinda si na yeye angekuwa mjengoni! Halafu?
 
Ngoja leo jioni nasikia ataotoa mashudu yake kwa wazeeiiiya!!
 
Sasa jamaa mbona unahusisha hasira zako na watu mashuri kama Shigongo??Binafsi nafikri Shigongo sio mtu wa kubezwa hata kidogo labda kama unasababu za kumkaumu utufahamishe,huyu shigongo innovative kuliko unavyofikri so usimtolee mifano mibaya jamaa
Shigongo mashuhuri? labda neno mashuhuri nalielewa tofauti na wengine lakini sishangai maana hata Matonya wanamuita ni mtu mashuhuri.
 
Sasa jamaa mbona unahusisha hasira zako na watu mashuri kama Shigongo??Binafsi nafikri Shigongo sio mtu wa kubezwa hata kidogo labda kama unasababu za kumkaumu utufahamishe,huyu shigongo innovative kuliko unavyofikri so usimtolee mifano mibaya jamaa

Ni mtazamo wako juu ya shigongo na si mimi..umashuhuri wake mi unanihusu nn??
 
JK lazima atasaini kwani ameahidi lazima watanzania awaachie katiba mpya mjidai na muendelee kumkumbuka kipenzi cha watanzania.mumeoneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom