Hawa ndiyo maadui mchakato wa katiba mpya kwa miaka 50 inayokuja !!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa ndiyo maadui mchakato wa katiba mpya kwa miaka 50 inayokuja !!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JOB SEEKER, Nov 18, 2011.

 1. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF

  Hawa JF tunao maadui wa mswada wa Katiba mpya
  kwa miaka 50 inayokuja katika Taifa la Tanzania.

  hawa maadui tunatakiwa kuwapinga vikali katika mchakato
  wa katiba mpya inayokuja.

  Maadui wameonyesha ubnafsi katika mchakato huu na kuchukua
  nafasi ya watanzania

  Maadui hawa ni pamoja na wabunge wa ccm na cuf, AG,Waziri wa sheria na katiba pamoja na mkuu wa nchi

  watu hawa ni hatari na ni janga la kitaifa kwa miaka hamsini ijayo ndugu

  zangu.tunatakiwa kutumia busara zenye utaifa kuliko kufikiri ccm au cuf

  itanufaika vipi na mchakato huu,Mfano mzuri ni katika miaka hamsini ijayo

  tunaweza tusiwepo na cmm wala cuf bali watanzania bado watakuwapo.

  Ninatoa rai kwamba maadui hawa pamoja na wengine namna hii wapingwe

  vikali kwa namna yoyote ile kwani ni kikwazo juu ya haki ya watanzania wa

  sasa na baadaye.
   
Loading...