hawa ndiyo maadui wa mswada wa katiba mpya kwa miaka 50 inayokuja !!!!!!!!!!

JOB SEEKER

Senior Member
Aug 1, 2011
145
33
Wana JF

Hawa ndiyo maadui wa mswada wa katiba mpya
kwa miaka hamsini ijayo tanzania ya leo na kesho
ikichafuka hawa wanapaswa kubeba dhambi hii.

hawa ni pamoja na wabunge wa ccm,cuf and pamoja
na mkuu wa nchi hawa jamaa wanafikiria leo tu na kuweka
maslahi yao mbele.

ee mungu tusaidie 2shinde vita hivi inayotaka kutumaliza.
 
View attachment 41576
Anna Kilango
 
Back
Top Bottom