CHADEMA, it's time for leadership watanzania wengi tunawategemea! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA, it's time for leadership watanzania wengi tunawategemea!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by George Maige Nhigula Jr., Nov 18, 2011.

 1. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nadhani sisi sote tumeshuhudia hotuba ya Raisi Jakaya Mrisho kikwete kwa umakini mkubwa sana na wachambuzi wengi wa masuala ya hotuba watakubaliana nami kuwa Hotuba ya Raisi imejaa hofu na lawama nyingi hususani kwa wanaharakati, watu mashuhuri nchini na chama kikuu cha siasa.Raisi kikwete ameshindwa kufikisha ujumbe aliokusudia baada ya kuonyesha hofu kubwa na kulalamika hovyo, kitu ambacho ni weakness kubwa sana kwa kiongozi wa nchi , alitakiwa kuongea kwa civility ya hali ya juu kutokana na unyeti wa mchakato wa katiba ambao unatakiwa kuwa inclusive, hivyo raisi wetu ameonyesha kukosa ability ya kuwafahamisha watanzania kwa ku acknowlegde madai ya wanaharakati, watu mashuhuri na vyama vya siasa ni muhimu na yana mantiki kubwa kutokana na past experience ya tume lukuki ambazo hazikuwa na tija yoyote bali kuendeleza utawala wa kimla.Its time now for CHADEMA to lead us and we will follow them, I cant trust ccm on this, due to past experience
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ushauri wangu ni kwamba kabla ya chadema kuchukua au ku-assume leadership role, they need to asses their own leadership quality, and capacibility for any sustainable venture....
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  anakuwa na maneno ya mzaha mzaha anapohutubia
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,072
  Likes Received: 10,426
  Trophy Points: 280
  kwakweli huyu jamaa kaharibu siku yangu kabisa.o
   
 5. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nilichoshangaa zaidi ni pale alipokuwa anajitahidi kuhalalisha wanacholazimisha kufanya sasa hata kama sio sawa na hakina tija kwa taifa eti kwa kuwa watangulizi wake walifanya hivyo hivyo!

  Hivyo tutegemee business as usuall na sio katiba tunayotaka ituvushe salama huko tuendako.
   
 6. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Eti chadema waongoze nchi? nchi gani? labda moshi, haitatokea wala kufikirika kwa cdm kuongoza njii hii hata yethu akirudi babangu.
   
 7. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unajua maana ya Leadership Ndugu? Tunahitaji bold leadership kwenye swala la katiba, wananchi wanahitaji leadership kwenye issue mbalimbali, CCM hawana political legitemacy wala mandate ya kuongoza mchakato wa katiba kwa sababu lengo lao ni ku prolong utawala wao na sio kuandika katiba imara ya watanzania wote, JK amedhihirisha hilo kwenye hotuba yake leo na wazee wa ccm kwa kukiri bayana kuwa anachokifanya sasa hivi sio kipya kwani watangulizi wake wote wamekuwa wakifanya the same things kwanini yeye anatiliwa nongwa? sasa sisi ni watu wazima tunajua matokeo ya tume zote zilizokwisha undwa kama zilikuwa na tija yoyote.
   
 8. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Usirukie kitu usichokijua nafikiri hujui maana ya leadership mawazo yako yote yamekupeleka kwenye kuongoza nchi.
   
Loading...