Nani atakuwa na akili, CCM na wabunge wao au CHADEMA, wanaharakati na wananchi wengine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani atakuwa na akili, CCM na wabunge wao au CHADEMA, wanaharakati na wananchi wengine?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malova, Nov 18, 2011.

 1. M

  Malova JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Muswada walioendelea kujadili wabunge wa ccm na kama si kukijadili chadema na LISSU wake ukitolewa na kusomwa kwa mara ya kwanza nani atakuwa na busara kati ya ccm na wabunge wake na chadema, wanaharakati na wanachi wengine?
   
 2. M

  Mkwele JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Too late, huo muswada umeshapitishwa.
   
 3. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umepita kwao na si kwetu wananchi.
   
 4. M

  Malova JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  kama umepita kwanini Pinda atoke mjengoni kwa dharura?
   
 5. j

  jigoku JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mswada umeshapita la Pinda kuja Dar ghafla jibu lake liko kwenye speech ya JK leo jioni majira ya saa 10 atakapokuwa anaongea na wazee wa jiji la DAR.Jiandaeni msikilize.
   
 6. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Namsubiri kwa hamu kwenye hiyo speach maana nategemea kuongezewa hasira ya kuikomboa nchi yangu. Nasign out
   
 7. J

  JALUO Senior Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mmmmh sidhani ,,,hhiii nchi tunarogwa,,mimi machozi yananilenga sijui pakuanzia ila am ready even to die kwaajili ya kuitafta haki
   
 8. gstar

  gstar JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 60
  Muswada upite au usipite hiyo inawahusu wao, sisi wananchi bado hatujapitisha wakwetu
   
Loading...