Wasiwasi ndio akili: Katiba 'mpya' imeshaandikwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasiwasi ndio akili: Katiba 'mpya' imeshaandikwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Nov 18, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,600
  Trophy Points: 280
  Kwa nilivyofuatilia mjadala wa Muswada wa Sheria ya Tume ya Kuundwa kwa Katiba,nimepatwa na shaka kuwa huenda Katiba imeshaandikwa. Hii inatokana na Spika kuiingilia Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria inayoongozwa na Mh. Pindi Chana na kumjumuisha Mh.Tundu Lissu kama mjumbe.

  Wakati Kamati ilitamka wazi kuwa Muswada usomwe tena kwa mara ya kwanza, Spika Makinda aliamuru Muswada usomwe kwa mara ya pili na majadiliano yaanze kuelekea kuufanya kuwa Sheria.

  Pindi Chana akanywea na hakusema ukweli. Lissu akathubutu kupasua jipu. Kilichofuata kinajulikana kwa Watanzania. Tume itakayoundwa na Sheria itakayotokana na Muswada huu pamoja na Hadidu Rejea ndio utakuwa msingi mkuu wa Katiba.

  Kwa mtiririko huo, nina wasiwasi wenye sababu kuwa Katiba imeshaandikwa tayari na kinachofanyika ni kiini macho tu.

  Wanajamii mnasemaje?
   
 2. M

  Museven JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  you're quite right
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,600
  Trophy Points: 280
  Chukua na mfano hai wa leo wa kupitishwa kwa Muswada pamoja na upinzani wote uliokuwepo kila kona...Najiandaa kwenda kwa Mwanasheria Mkuu kujiridhisha juu ya uwepo wa Katiba mpya.Nina wasiwasi mno...
   
 4. W

  We know next JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nadhani choseni upo sahihi kabisa!
   
 5. gstar

  gstar JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 60
  Wananchi tujitokezeni kwa wingi kupinga muswada huu, haki haiombwi alwayz
   
 6. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,600
  Trophy Points: 280
  Tunaanzajeanzaje sasa?
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  leo wamepitisha sheria kwamba ukihoji unafungwa miaka mitatu, unafikili tutafanyaje?mia
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ccm hawatujui hee! Ipo siku tutawanukishia watapaona hapa Tz pachungu
   
 9. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  hii ya iko siku imenichosha tuchukue hatau...binafsi na wasubiri chadema au chama chochote kitakacho lianzisha...
   
 10. kalukamise

  kalukamise JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mkuu naomba unijuze zaidi kuhusu kifungo, ilikuwaje wakafikia hapo ? things are getting serious, or rather out of their hands unknowingly
   
 11. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani ivi watz nani katuroga? ebu tuamkeni tuipiganie hii nchi tusitegemee hawa jamaa watatoa katba inayowafeva wananchi.
   
 12. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  watz wana lala usiku na mchana wapo macho, acha kuwatukana watz ooh wamelogwa, labda wewe
   
Loading...