Mbunge wa Longido adanganya Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Longido adanganya Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lilwayne, Nov 17, 2011.

 1. L

  Lilwayne Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbunge wa longido ndugu Lekule laizer amedanganya Taifa kwa kudai kuwa alisoma kidato cha nne mwaka 1975 as a private candidate. Huu ni uhuni na ndo uhaini ambao CCM inahubiri kila kukicha. Nakumbuka mbunge huyu alisoma form 4 mwaka 2004 na si 1975 kama alivyoandika katika website ya bunge. Alipokuwa anagombea ubunge kwa mara ya kwanza mwaka 1995 alikuwa na elimu ya darasa la saba na ni baada ya kuachia udiwani wa kijij kimoja kinachoitwa mundarara na si form four.

  Ndugu zangu wanajamii ni hatua ipi inayomfaa kiongozi kama huyu anayetunga sheria anapodanganya umma wa watanzania huku akijipachika elimu asiyokuwa nayo? Hii ni aibu kwa wana wa Longido wote,watanzania wote wapenda ukweli na hata bunge zima kwa kuwa na mkusanyiko mkubwa wa mambumbu na hawa ndio wanaosaini mikataba bila kusoma maana hawapo makini na wanacho kifanya

  Source ni kijana wake wa nje ya ndoa anayesoma UDOM mwaka wa pili anaitwa william lekule
   
 2. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Hawa vilaza si ndiyo wanaimba taarabu bungeni pasipo kujua hoja zilizopo mezani????????????
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nadhani hilo linawarrant kumcontest
   
 4. S

  Shiefl Senior Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu ni Laigwanana na wala hana mbele wala nyuma ila sasa katokea sehemu ambayo illiteracy is so high...

  Majamaa kule kwake wanaishi kijima ile mbaya. But ndio hivyo bwana Tz yetu kazi kweli kweli
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,743
  Trophy Points: 280
  Hao mbona wako wengi tu huko CCM? Si ndiyo maana kwa siku tatu mfululizo wameacha kujadili hoja na badala yake wanajadili mtu,wanatumia makamasi kufikiri.
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  hebu wajuzi wa sheria watueleze sheria inasemaje kuhusu mbunge aliyedanganya elimu yake, na je inawezekena kumuondoa madarakani???
   
 7. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Lilwayne vs "Watoto wa nje ya ndoa"

  Mkuu unafanya kazi idara ya ustawi wa jamii? Jana ulianzisha thread kuhusu Elimu ya Mhe. Ole Sendeka, katika story ukataja na majina ya watoto wake wa nje ya ndoa na mahali wanakosomea/walikosomea. Leo hapa umeweka habari ya Mhe. Lekule na kama kawaida yako umetoka tena na jina la mtoto wake wa nje ya ndoa. We mkali kwa kweli!

  USHAURI:
  Hulazimiki kuwadhalilisha hao vijana ili kuhalalisha hoja yako, ungekuwa unatumia jina lako halisi na ukawataja hao majina kama ulivofanya ingekuwa njema. Sina hakika kama kwenu mtoto ana option ya kuzaliwa bastard or not.
  Tafakari kuhusu hilo!
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  wakati akitafakari tukumbuke kuwa tuna haki ya kupata taarifa sahihi, huyo mtoto ni muhanga wa maadili mabaya ya wazazi wake, usahihi wa habari kama hiyo unaweza kutusaidia kupanga na kuchagua, ikibidi kuolewa na huyo kijana ujue geneticaly ana element ya kutokuwa mwanifu kwenye mahusiano.
   
 9. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapo umeniongezea jambo jipya, hebu lieleze kitaalam na ukiweka na sources na hata reference books ili mimi na wengine tupate uelewa zaidi kuhusu genetics.
   
 10. K

  Kikois New Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  inawezekana kuna ukweli katika hilo unalolisema lakini swali la kujiuliza huyu anayetoa taarifa hana personal interest hasa ukizingatia ni mtoto wa wa nje ya ndoa kama usemavyo.hata hivyo elimu ni nyezo tu na wala si kigezo cha kuwa kiongozi kuna watu hata darasa hawalijui lakini wanaongoza vizuri achilia Lekule unayesema kasoma mpaka la saba.Huyu MB lekule hata kama watu watamsema bado hawataweza kufuta matokea ya vitu alivyosaidia kuwepo Longido leo.Mfano Longido was just part of Monduli he fought today is a district,hatukuwa na maji leo kuna bwawa, hakukuwa na umeme tunapata umeme toka Kenya, hakukuwa na sekondari leo zipo sekondari zaidi ya kumi.Ndiyo anamadhaifu yake kama kiongozi mwingine yeyote ila isiwe kigezo cha kumkejeli.Mm wala si mwana Longido kwa kuzaliwa lakini nimeyaona mazuri ya mtu huyu nashangaa kama mwenzangu na huyo kijana wake kama hamyaoni mambo mazuri aliyoyafanya huyu mzee wa watu.Sorry probably wewe si mwana Longido na kama ndiye do not look for pubic support against Mr Lekule (MB) because am sure pple from Longido will not join you.
   
 11. zeus

  zeus JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama hoja ni Lekule kudanganya bunge hayo ya watoto wa nje yanatoka wapi? We umejiunga hapa jamvini siku tatu zilizopita, to be precise 15 Nov, 2011. So far umemshambulia Mh sendeka kuwa na watoto wa nje ya ndoa..na kuwataja kwa majina! is that really sensible? what does it matter?. na baada ya huyo ukaja na Mh. Lekule mbunge wa longido, huyo mtoto wa Lekule unayedai ni source ya information yako na unamtaja hapa alikuambia yeye mwenyewe au au uliskia udaku tu na kuja ku-post hapa?. Kama unamkosoa mtu kwa kufoji vyeti jenga hoja ya msingi ya mashiko siyo kutuambia maisha yake binafsi yanaendaje. you chose how to live your life,
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hana tofauti na wanaojiita madr uku ni vilaza
   
 13. zeus

  zeus JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  besides, nafikiri kusema uongo ni sehemu ya Bunge la CCM, au broadly, Bunge la jamhuri, watu kibao wameshadanganya bunge na hawajachukuliwa hatua yoyote, kuna mheshimiwa alidanganya bunge kuhusu mauaji ya waandamanaji Arusha, alichukuliwa hatua gani?? Na yule mh Mb wa jimbo la Nkenge (BukobA) aliyedanganya kuwa yeye ni Dk( Daktari wa falsafa- PHD ) wakati sio kweli alichuliwa hatua gani?mifano ipo mingi. kwa hiyo kama MB Lekule amedanganya Bunge kuhusu elimu (mimi sijui) well, nafikiri sio halali, ni makosa. Lakini tunaona desturi inajengeka viongozi wa chama na serikali kudangaya elimu zao, tuna maprofesa feki, madokta feki. Katika suala la Lekule,mi nafikiri mleta hoja ni mzushi. kama Lekule alisoma form four mwaka 2004 mbona hatuambii alisoma shule gani ? alianza lini na kumaliza lini?. Ni kwa kiasi gani wewe una imani na source za info yako? Tuache majungu.
   
 14. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Wengine wasameheni bure tu mfano huyu mzee, hana madhara kuanzia uelewa wake, michango yake bungeni ni kutetea wafugaji na mpaka sasa hajafanikiwa kuwatatulia lolote katika hayo au kama lipo ni dogo sana na halijulikani but he is a candle in the darkness nadhani nimeeleweka!
   
Loading...