Rais Kikwete kuzungumza na Wazee wa Dar jioni ya leo (Nov 18, 2011)

Status
Not open for further replies.

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Mheshimiwa Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete leo ataongea na wazee wa Dar-es-salaam kuanzia saa kumi jioni. Itarushwa live na vituo vya TV kama TBC.

USIKOSEEEEEEEEEEEEEEEEE.
 
Duu mwambie asijesema hataki kuraza wafanyakazi kama kipindi kile, ukweli nikuwa hana jipya jk
 
anataka kuleta hotuba za mbayuwayu tena hahaa huyu mzee kaishiwa sasa anatapata
 
aongee na wasomi sio hao wazee wa ccm
Lakini ujumbe unatufikia wote..atakayoongea hawalengi tu wazee..bali taifa kwa ujumla. Wazee wantumika tu kama sample ya hadhira
 
Lakini ujumbe unatufikia wote..atakayoongea hawalengi tu wazee..bali taifa kwa ujumla. Wazee wantumika tu kama sample ya hadhira

Sure ni kwamba anaongea na TAIFA - tusikilize lakini Mkulu anataka kutuambia nini, am sure I will snatch something!!!!
 
Kipindi kile cha mgomo wa wafanyakazi alipoongea na wazee hao wa dar alimshambulia sana mgaya na tucta, leo nafikiri ni zamu ya LISSU NA CHADEMA. Kwa nini wazee na sio, wasomi, wanaharakati, wanasheria, jukwaa la katiba, wananchi kwa ujumla? Au anaogopa zomeazomea, anakimbilia mahali ambapo anajua atapata makofi na vigelegele kirahisi. Tusubiri tuone!
 
ccm na viongozi wake ni janga la kitaifa, katika karne hii ya 21 wao bado wanaendeleza siasa za zama za mwalimu, ubunifu ni zero kabisa.
 
m.kwere anaenda kukusanya maoni juu ya muswada wa katiba jamani, yupo kazini, . . !
Sasa tusemeje,manake gafla gafla,utaskia yuko chamazi uwanjan anawapongeza wachezaji,ukiona hayo,mulika mwiizii . . .
 
Kwa mujibu wa Taarifa ya Habari ya TBC1 leo asubuhi, Rais JK atazungumza na wazee wa jiji la Dar es Salaam mnamo saa kumi jioni. Pamoja na mambo mengine, rais anatarajiwa kuzungumzia mchakato wa katiba unaoendelea hapa nchini.

Hata hivyo kuna mashaka endapo muswada huo utapitishwa na bunge leo kwani ni muda huo huo ambapo bunge litapaswa kuendelea na kazi yake ya kupitisha muswada huo. Kwa wachambuzi wa mambo, kuna kila dalili ya bunge kutoahirishwa leo kama ratiba ilivyokuwa ikionesha hapo awali.

Tuendelee kufuatilia yanayoendelea kwa manufaa ya Taifa.
 
hivi huyu jk mshauri wake ni nani? mbona anashindwa kujua right avenues ku address issues..aghhhj
 
mhhhh, mbona kimyakimya?

Hawa wazee ndo wanapigwa mabomu wakisotea malipo yao ya jumuiya ya Africa Mashariki. Lakini kwa kuwa wameshaanza kupoteza kumbukumbu, wakitangaza vijana watawakumbusha hivyo hawataenda.

Kama hawa wazee wana busara waache kwenda au kama wana umoja, huu ni muda mzuri kwenda na kugoma kuhutubiwa na wao wakamuuuliza maswali juu ya malipo yao.
 
Muhanga wa hotuba ya leo atakuwa Kibamba wa Jukwaa la Katiba, atawachimba mkwara wanaharakati kisha atatoa ile habari ya 'MBAYUWAYU'.
 
Mrema alipata asilimia 21 ya kura zote, 1995.
Hivi huyu mzee Mrema angekuwa rais sijui ingekuwaje.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom