Jeshi la misri la salimu amri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeshi la misri la salimu amri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Nov 22, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,028
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Baraza la kijeshi nchini Misri limesalimu amri na kukubali kuitisha uchaguzi wa raisi nchini humo mwezi July 2012 vilevile kukubali baraza la mawaziri kujiuzulu ambapo masaa machache yaliyopita waliwakatali!source Al jazeera
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Waarabu siyo kama wabongo wakisema wanamananisha.
   
 3. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jamaa wapo
   
 4. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pipoz pawa!
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,958
  Likes Received: 886
  Trophy Points: 280
  Ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,493
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Kama wao wameweza kwa nini sisi tushindwe?
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,485
  Likes Received: 1,847
  Trophy Points: 280
  sisi tuna laana rais na waziri mkuu anatangaza sukari kilo sh 1700 hapo hapo uchumi supemarket wanatangaza kwenye radio sukari kilo sh 2300 bila hata kuogopa!
   
Loading...