Barua ya CHADEMA yatua kwa JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua ya CHADEMA yatua kwa JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwana Mpotevu, Nov 22, 2011.

 1. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Barua ya CHADEMA kutaka kukutana na JK kujadili issue ya katiba hatimaye imefika Ikulu. Tayari Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu imethibitisha kupokea barua hiyo na kusema JK kafurahi sana kupata barua hiyo na amewataka wasaidizi wake kupanga haraka siku ya kukutana na kamati hiyo ya vigogo wa chadema
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Good! tunasubiri majibu. alivyo mwoga wa kukutana na majembe ya chadema anaweza kudondoka!
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Kwa mtu mwenye akili lazima ushukuru kuliko maamuzi mengine yangefanywa. Katiba ni yetu sote si ya ccm au chadema pekee
   
 4. W

  Wababa Senior Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vivaaaa chademaaa kamfundishen huyo mtoto wa kiswahili siasa zenye upana wa demokrasia
   
 5. M

  MWANAKASULU Senior Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Aiseee jk kama atapuzia na akachezea nafasi hiyo basi ajue wananchi watakataa mswaada wake na watamkataa yeye kuwa rais kwa kumshinikiza aachie ngazi wakuongoza kwa matakwa ya wengi waongoze.
   
 6. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Laa ila ailahlah Mohamed arasuliulah...Akipuuza hata sisi wasilamu tunaamia barabarani kuipinga rasimu ya kimagamba tumechoka mahakama yetu hajatupatia...teheee..:spy:
   
 7. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Cha muhimu chadema wajipange, lakini nina wasiwasi JK anaweza kucheza trick la kukutana nao huku bakiwa ameshasaini muswada kuwa sheria maana anatakiwa kusaini kabla ya tar 30 mwezi huu na sheria inatakiwa ianze kutumika desemba 1
   
 8. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ili watz bwn kazi kweli.wakakubaliane vizuri kupinga mgombea binafsi ili kunusuru vyama vyao.ila si tusio na vyama wanatunyima haki yetu
   
 9. B

  BRIA Senior Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  Polonium 210
   
 10. m

  mtolewa Senior Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  acha fikra za kidini. cha muhimu ni jk aone umuhimu wa kukubali ukweli na akibisha watanzania wote wenye mapenzi mema bila kujali dini tunajimwaga barabarani
   
 11. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mmmmh! Kweli wasijewekewa hiyo kitu!
   
 12. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Unaleta matamshi ya ki NICKSIXYO unasingizia ni ya kiislamu!Waislamu hawatamki matamshi kama wamebugia ugolo mdomoni wewe!Acha kejeli za kijinga hapa.Utaamsha hasira za watu humu bure halafu uanze kuwagawa watu bila sababu.
   
 13. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wewe ni nani hata uwasemee Waislamu wote?
   
 14. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wewe ni nani ambaye unaabudi migawanyiko ya kipuuzi?
   
Loading...