Moto wa Katiba Mpya CHADEMA kutinga Ikulu; KAMATI Kuu yateua kamati ndogo ya muafaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto wa Katiba Mpya CHADEMA kutinga Ikulu; KAMATI Kuu yateua kamati ndogo ya muafaka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAMA POROJO, Nov 22, 2011.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  MODS, mada ya kumuona Rais ni tofauti na mada ya tamko. ukizichanganya mada hizi flow ya mjadala inakinzana,mada ya kumwona Rais haioko kwenye tamko la chadema usiunganishe mada tofauti ya tamko na kumwona Rais kwenye mjadala mmoja. thread yangu iachwe ijitegemee ili tupate mtitiriko bora wa mada hizo mbili.

  My take: Nawapongeza chadema kwa kutambua mapema kwamba kama wakisusa wenzao watakula. katiba itatengenezwa na wao chadema watabaki nyuma. hata hivyo sijui kama watamalizaje matakwa ya wafuasi na mashabiki wao wanaotaka maandamano nchi nzima.

  Wamechukua uamuzi mpya na mzuri kwa wakati muafaka kwa sababu hata kama wangeamua kwenda kufanya maandamano Rais asingeweza kuwapa fursa ya kuwasikiliza. Wamegeuka nyuma na kuchagua kilicho bora kwa sasa.

  Badala ya kutoa masharti ya namna ya kumuona Rais chadema wajiandae kwa hoja za kumshawishi Rais na Rais atakuwa na hoja zake. Kama chadema wataanza kwa kumpa masharti Rais kabla ya kuonana naye na Rais akitoa masharti kwa chadema kabla ya kuwapokea Ikulu wazo jema la chadema litakufa.

  Pande mbili zenye masharti kamwe haziwezi kukaa kwenye meza ya mazungumzo. Chadema bebeni hoja kwenda kwa Rais msibebe masharti.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Tumia akili kidogo kufikiria!
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mods ni kweli mnachanganya mada hizi ni mbili tofauti na mjadala unaharibika kufuatilia post yenye mazungumzo mawili huyu ya tamko la chadema na yule anasema kamati ya kumwona Rais.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Timu ya chadema ya kumuona rais ni nzuri lakini ina watu wengine ambao hawajawahi kumtambua Rais kama vile Dr Slaa. watawezaje kukutana na Rais kwa maslahi ya taifa letu?
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wameshaona jinsi gani waliwakosea wananchi wanaowawakilisha kwa kuwanyima uwakilishi katika suala nyeti la mabadiliko ya katiba hivyo wameamua kwenda kuonana naye ili wajenge credibility waliyoipoteza kwa wanchi. Tusubiri watakayoyazungumza.
   
 6. t

  thatha JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  naona fofofo amezinduka sasa.in fact naunga mkono hoja ya makamanda kutaka meza moja ya mazungumzo na mkuu wa kaya pale magogoni lakini wasiende na masharti na misimamo migumu,wanaweza wasipate ufumbuzi wa kile kinachowapeleka.watanzania tunataka katiba mpya sasa...............tumechoka....
   
 7. L

  Luiza Gama Senior Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2010
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema wametapika sasa wamekula matapishi yao
   
 8. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Chadema wanajua kuwa haya mambo yote ni mipango yake. Lengo ni kumwambia usio kwa uso ili asije anza kulaumu baadaye na hatakuwa hana cha kusingizia
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Unataka kuzungumza nini, umejibu hoja au unapinga?
   
 10. j

  jigoku JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Pipijojo sijui nani anyway cha msingi ni post yako,Labda tu nikujuze ya kwamba kumuona raisi ni mtego kwenu ninyi msiojua,tena ni mtego mkubwa sana na kwa taarifa una pande mbili za matokeo mazuri kwa chadema1.

  Hoja za msingi zitawasilishwa kwake ama akubali kutokusaini mswaada urudishwe ili ufanyiwe marekebisho2.

  Akikataa yeye ndio shahidi wa kutokukubali muafaka utakaoletwa kwa majadiliano ambayo yatapelekea kuwa na katiba isiyo ya upande mmoja wa CCM na washirika wao CUF.

  Hivyo akikataa ujue pia ya kwamba ndio kawaruhusu chadema kuandamana kwa kutumia nguvu ya umma.kwa lie kichwa ngumu utapbisha lakini subiri it is a matter of time
   
 11. L

  Luiza Gama Senior Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2010
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama Tundu lissu alimwita kikwete Dikteta atamwambia nini dikteta na kuzungumza naye
   
 12. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 711
  Trophy Points: 280
  jk ametegwa juu ya hili......
   
 13. L

  Luiza Gama Senior Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2010
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waliochaguliwa kwenye kamati ya kumuona Rais wamechaguliwa na nani maana wananchi hawajashilishwa kuwachagua. tunataka wananchi washirikishwe si kamati kuu ya chadema tu wanatunyima uhuru wetu
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Matunda ya hotuba ya JK kwa taifa kupitia wazee wa Dar hayo.
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Anaenda kukuonana na Dikteta tena mfalme...lol
   
 16. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Naona mmejipanga kuchangia thread yenu.
  Fine, ila najua kimewauma kwa kuwa mnajua fika kwamba jamaa yenu hawezi kushindana kwa hoja na vichwa kama Baregu na Safari. Msiwe na hofu jamaa sio mjinaga kiasi hicho mpaka aruhusu kuaibishwa ofisini kwake, atakataa tu.

  By the way, nawaachia thread yenu. Nasign off.
   
 17. k

  kandambili2 Member

  #17
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwenda kumuona Rais ni kutambua kuwa na wao chadema hawawezi kuunda katiba mpya bila kumshirikisha Rais mbali na kwamba ni mwenyekiti wa CCM
   
 18. k

  kandambili2 Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uamuzi wa chadema umekwepesha maandamano na ghasia
   
 19. mkada

  mkada JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 998
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  watanzani tuna utamaduni kuwa kunapokuwa na tatizo pande husika zitakaa chini ya mti na kuongea mpaka wameelewana,huyo ndo mtanzania,zaidi ya hapo chadema mmetumia busara sana!
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,138
  Trophy Points: 280
  Baada ya magwanda kutambuwa kuwa sera yao ya kususasusa imewageukia juzi bungeni na hususan baada ya kuchambuliwa na Kikwete alipokutana na wazee, Watanzania wengi wamewaona viongozi waliowachaguwa kuwawakilisha bungeni kwa tiketi ya magwanda wamekosea na hawakuwatendea haki kwa kususasusa kwao na kutokuweza kupinga mswaada kwa kufata sheria na badala yake wakafata kuonekana kwenye Tv wakisusa. Hilo ni pigo kubwa sana kwa magwanda wakikubali wasikubali ilikuwa si busara kususasusa kama mitoto inayo deka, unamdekea nani?

  Kwa kuwa wameshalikoroga turufu yao kwa sasa ni kumtambuwa Rais waliyesusa hata kusikiliza hotuba na kuomba kukutana nae ili japo kidogo warudishe hadhi kuwa waonekane wanafanya kazi.

  La kumuona Rais, najiuliza na niliuliza humu wanakwenda kumuona kama Rais? au Mwenyekiti wa CCM ?

  Wajipange vizuri, Kikwete ni kicha na alishawahi kusema "waende watarudi" na sasa imetimia.

  Umewashuka haooooo.
   
Loading...