Kamati kuu Dodoma mwenye updates za magamba atujuze | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati kuu Dodoma mwenye updates za magamba atujuze

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kitorondo, Nov 22, 2011.

 1. K

  Kitorondo Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Mwenye udates za dodoma za uhakika atujuze
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Watavuana gamba si muda mrefu
   
 3. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,401
  Likes Received: 1,525
  Trophy Points: 280
  .........mkuu, umetuambia katika nyuzi mojawapo hapa kwamba habari ulizonazo ambazo of course ume-declare sio rasmi kwamba Lowassa na Chenge wamevuliwa gamba, hivyo tuchukulie hizi ndio rasmi mkuu?
   
 4. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hawana ubavu yetu macho na masikiyo
   
 5. D

  DT125 JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hivi umesema mwenye update za EL na JK walikutana wapi atujuze. Kama ndivyo mimi ninachojua EL alisema hawajakutana barabarani kama kuna anayejua walikutana wapi atujuze hata mie ninapenda kujua.
   
Loading...