Mbunge alipua bomu la machozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge alipua bomu la machozi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Nov 22, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,028
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mbunge wa bunge la korea kusini alipua bomu la machozi bungeni na kuwaliza wabunge wote!
  Amefanya hvyo kuonyesha hisia zake za kutokubali nchi yake kuingia mkataba wa kibiashara na Marekani.
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  NImeiona iyo nkachoka naona huo ni uzalendo wa kupindukia.
  Si unajua USA huwa anafaidika kwa kwenda mbele wakati wengine mnaliwa
   
 3. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,288
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Duh! Mie nimeingia haraka kusoma nikijua bomu hilo limelipuliwa ukumbi wa White House pale Dodoma ndani ya NEC, kumbe Korea??????
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,341
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  Hii habari kuna mtu ameshaileta!
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
  Hizo ndo siasa sasa! Kuna haja ya kulipua la machozi kwenye bunge letu ili wabunge wa-feel wanachopata wananchi wao wakitimuliwa na dola!
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,017
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  maudhui nini kwetu
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,294
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  hao ndio wazalendo wa kweli sio wa ccm kazi yao kupiga meza
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Huelewi eeh?
  Watu wengine nyie ni mpaka muonyeshwe picha!....Subiri!
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,841
  Likes Received: 2,070
  Trophy Points: 280
  mutatis mutandis..................hii habari ipo humu tayari
   
 10. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,826
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Jamaa machachari kwelikweli, nimemwona aisee.
   
 11. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  A very misleading thread. Kwa nini usiwe specific badala ya kuwafanya watu wawe na fikra kwamba ni jambo linalowahusu kumbe ni la huko nje. Hiyo ni tabia ya waandishi uchwara hasa wa magazeti ya udaku.
   
Loading...