Kwa kiongozi makini au rais makini sakata la jairo ilikua kuwafukuza kazi mara moja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kiongozi makini au rais makini sakata la jairo ilikua kuwafukuza kazi mara moja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Japhari Shabani (RIP), Nov 22, 2011.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa sakata la kina Jairo na usisadi wa songazi baada ya kamati ya bunge kuanika madudu yao wengi tulitegemea Rais JK angelichukua hatua mara moja kuwafukuza kazi Waziri wa nishati Ngeleja,Jairo,Luhanjo,Mkaguzi mkuu wa mahesabu na wote walioshiriki katika sakata hilo.Na kuitisha uchunguzi katika wizara zote na hatua za serikali kuchukua mkondo wake.Ushahidi uliotolewa ni tosha.Lakini cha kushangaza sasa ni siku ya nne hakuna kauli sio ya waziri mkuu wala JK,wanasubiri nini?Watu tunaanza kuhisi ya kua jeuri ya Luhanjo sio bure kwa lilotokea lilipata baraka ya JK.Hata kama JK atawajibisha hivi sasa itachuliwa ya kua si kwa nia yake bali kwa reaction na pressure ya jamii.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  ..Jairo ndiyo amempokea JK pale wizara ya nishati na madini.

  ..wamekuwa pamoja ktk kila wizara tangu wakati huo, wameachana juzi alipomteua Jairo kuwa katibu mkuu.

  ..kwa kifupi hawa ni marafiki wakubwa, tena wa muda mrefu.
   
 3. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  JK,u need to take decisions,otherwise always U will be in problems.
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu jibu lako lipo kwenye heading yako "KWA KIONGOZI MAKINI".
   
 5. Bongo Pix Blog

  Bongo Pix Blog JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Do we have one?
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu is that really a question?
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Inatosha kusema hatuna Rais makini. Kichwa cha Nazi tupu!
   
 8. kadeti

  kadeti JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  mzee wa kaya ataki kuwafukuza wkina jairo na luhanjo kwani wamekaribia kustaafu na anaona maswahiba wake watakosa mafao.kwaiyo anavuta muda kidogo jamaa wastafu!
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ni mbaya sana nchi kuongozwa na mpumbavu.
   
 10. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Inaelekea jamaa umechoka kuvumilia; na ustaarabu umekushinda!! Hauko peke yako inaelekea nchi nzima iko nyuma yako1
   
Loading...