J. S. Malecela aukubali mchango wa vyama vya upinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

J. S. Malecela aukubali mchango wa vyama vya upinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpui Lyazumbi, Nov 22, 2011.

 1. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Waziri Mkuu msataafu leo kupitia tbc-habari saa 2 uck, amekiri kuwa mchango wa vyama vya siasa vya upinzani umekuwa wa muhimu sana kwa ustawi wa taifa. Sambamba na hilo amekiasa ccm kwenda na wakati ili kukabiliana na nguvu za vyama pinzani. amehofu ccm isionekane kuwa haina sera mpya wakati huu na hatimaye kupoteza umaarufu mbele ya wananchi.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mzee nae huyu hakubali kuwa kachoka!...ndugu zake wamshauri apumzike nyumbani...mbona bado mgonjwa sana huyu?
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  ...Hivi zile ndoto zake za kuwa rais bado anazo?
   
 4. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  watu wa umri wake katika nchi zilizoendelea wanakula pensheni zao...Kubali ya upinzani watakubali tuu hata wakiwaita na babu zao waliozidi kwa ubishi hapa hali imekuwa ngumu kwao wote...Pipoooooooooooooozzz.:canada:
   
 5. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Zimefutika mkuu, ndo maana sasa anabalance mambo.
   
 6. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  yaaa ushaurimz uri
   
 7. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  umri umeenda apumzike.
   
 8. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Noted.
   
 9. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Muulizeni W.J Malecela @N.Y C kama kweli ndoto za babake zimekwisha. Mkitaka kujua kama kazeeka au la muulizeni Annie Kilango
   
 10. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Naunga mkono hoja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Umepotea mwana.
   
 12. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndo maana ya kujitazama hiyo.
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kachoka kweli mzee wa watu...daaah suti inampwaya sijui hawakumpima vizuri
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hebu akacheze na wajukuu nae UNAFIKI tu kayaona hayo baada ya kuwa bunge analionea kideoni.
   
 15. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #15
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Mimi naendelea ku-note down hii list: S.A.SALIM, WARIOBA SINDE, MZEE KINGUNGE (kwa kugoma kutoa neno la shukrani na mchango wake wakati wa kumbukumbu ya Mwl. Nyerere) na leo hii tena ni Mzee Malecela! Mmmh naogopa maana majembe ya CCM yanazidi kung'oka mipini na aidha kuwa neutral au kusapoti CHADEMA. Sijui itakuaje baada ya mtukano sorry mkutano
   
 16. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,401
  Likes Received: 1,525
  Trophy Points: 280
  ......umri kukimbilia jioni ni jambo moja, lakini ushauri mzuri alioutoa ni jambo jingine na sio la kupuuza kwa wasio wavivu wa kufikiri na kuishi kishabiki/kimikumbo
   
 17. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,401
  Likes Received: 1,525
  Trophy Points: 280
  ......naam, kajivua gamba kifikra
   
 18. raia tz

  raia tz Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  poa mkuu,wahenga wanasema "you cant teach an old dog,new technics of hunting" hawa wazee wetu time imewapita now wanahaha, but they had time in their leadership walifanya nini?
   
 19. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Tupokee ushauri kama somo kwa wengine.
   
Loading...