Kwa nini JK anachelewai kuchukua hatua, anasubibiri wateule wake watemewe mate adharani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini JK anachelewai kuchukua hatua, anasubibiri wateule wake watemewe mate adharani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by theophilius, Nov 21, 2011.

 1. theophilius

  theophilius Senior Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mpaka sasa najiuliza Rais wetu anasubili nini, kumchukulia hatua Jairi, Ngereja, Luhanjo and co!

  Anataka amwambie nani kwamba watu hao hawaamini tena mbele ya umma, kwani uadilifu wao wameutia mchanga wenyewe!

  au, anataka aone mtu anatemewa mate adharani ndiyo ajue kwamba mtu amechokwa!

  kwa kadiri mambo yalivyokwenda juzi bungeni na mitaani (kama bado wale mashushu bado wanafanya kazi zao) basi inahitajika akili 'za kiuwendawazimu' kupuuza wito wa kuwachukulia hatua, vinara hao wa ufisadi, ambao hata aibu hawana. hata kama ni kaka, mjomba au rafiki wa damu lazima hatua zichukuliwe, vinginevyo kama zengwe lilivyokua na kuenea hadi kuwatumbukiaza akita Utto na Luhanjo, linaweza kuwasakama wengine... hadi Rais mwenyewe jambo ambalo sitaki kulifikiria

  "P'se President chukua hatua tena haraka, ukisubiri shinikizo utajua mwenyewe maana shinikizo litakalofuata ni kukutaka hata wewe uachie ngazi"
   
 2. theophilius

  theophilius Senior Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kuchelewa kuchua hatua ndiko kulikoifikisha hapa serikali na CCM, hata pale hatua zinapochukuliwa kwa kuchelewa matokeo yake kunakuwa hakuna impact inayostahili
   
 3. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Alishasema kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kuuchapa usingizi.Au umesahau mdau?
   
 4. babad

  babad Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anawapa muda wa kuficha maovu yao ila baadaye watuambie hakuna ushahidi wa kutosha
   
 5. theophilius

  theophilius Senior Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  haya na wasubiri waone matokeo yake..
   
 6. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Can you chop off your eye because it led you to thieving?
  Can one chop off his d.i.c.k because it was involved in adultery?
  Mwacheni Kikwete.
  Hakuna hatua ya kuchukua.
  Hatua hazichukuliki!
   
 7. l

  limited JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kwani raisi si alisha msimamamisha jairo kazi? sasa mnataka nini tena hamuoni the stakes are too high? here jairo anatosha na hatujui cc inajadili nini sasa ( nime waadmire wa misri ile mbaya na nafikiri watu wengine wanavyosema ustaarabu ulianzia hapo we acha tu)
  kingine ni hivi kama raisi alishaweka watu wake ofisini kwake, ni wapi bunge linakuja na kamati zake za maaalumu zinakuwa na ubavu kushinda yeye? so yale ukifuatilia ni mapendekezo tu ya kamati za maalum kazi yake ni kupendekeza so the presidaaa ana uwezo mkubwa wa kuafikiana nazo or hapana(we have to change the bloody thing called the katiba otherwise kuna siku anakuja kuwa raisi kama mimi we are all ****ed up ) kwa kifupi sakata la jairo limeisha kama lilivyoisha la richmond ikazaliwa bloody simbyon

  what a crap country........... sory lovely country
   
 8. l

  limited JF-Expert Member

  #8

Loading...