Chonde Chonde CHADEMA msiwakaribishe CHENGE na Lowassa ndani ya chama!

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
endapo kikao cha ccm kitapitisha maamuzi ya kuwatema hawa mafisadi wawili, napenda kuwatahadharisha viongozi wa juu kutowakaribisha hawa watu. Kwani wanastahili kwenda jela kutokana na ushahidi uliopo mpaka sasa kwa matumizi mabaya ya ofc walipokuwa kwenye uongozi.
 
Hawa wote wapo kwenye LIST OF SHAME. Sidhani kama CDM wanaweza kula matapishi yao wenyewe.
 
duh! Sawa MNEC, nadhani wahusika watakusikia, ila ingekuwa vizuri ukaweka huo ushahidi, isije ikawa Siasa!
 
endapo kikao cha ccm kitapitisha maamuzi ya kuwatema hawa mafisadi wawili, napenda kuwatahadharisha viongozi wa juu kutowakaribisha hawa watu. Kwani wanastahili kwenda jela kutokana na ushahidi uliopo mpaka sasa kwa matumizi mabaya ya ofc walipokuwa kwenye uongozi.

CCM haina nguvu ya kumtema LOWASA!!! May be Chenga no Chenge
 
Lakini nao ni binadamu, wanastahili second chance. Wakiomba kujiunga na CDM wapewe sharti la kuomba msamaha watanzania kwa siku tatu mfululizo na kurudisha fedha walizoiba then waingie tu kundini. Huenda wakawa na mchango mzuri tu wa kujenga taifa letu.
 
hapo mkuu nakubaliana na ww, EL inasemakana ndo aliye2mia nguvu nyingi kusaidia kumuweka mkuu wa kaya madarakani 2005
 
unafikiri ni rahisi sana kwa mtu jeuri kama lowassa kufanya hivyo?
Lakini nao ni binadamu, wanastahili second chance. Wakiomba kujiunga na CDM wapewe sharti la kuomba msamaha watanzania kwa siku tatu mfululizo na kurudisha fedha walizoiba then waingie tu kundini. Huenda wakawa na mchango mzuri tu wa kujenga taifa letu.
 
What you guys do not know is that Lowassa controls Chadema and he has been supporting it for years. It is not a question of whether he will join it but rather, a question of when will he make his move public? Get more details from Absalom Kibanda.
 
Mh! Vijana msipoteze muda wenu kujadili kisichokuwako! Nani kawaambia ndugu Lowassa anaondoka CCM?
 
propaganda hizi, kwanini jina lake lilikuwa kwenye list of shame?
What you guys do not know is that Lowassa controls Chadema and he has been supporting it for years. It is not a question of whether he will join it but rather, a question of when will he make his move public? Get more details from Absalom Kibanda.
 
Lakini nao ni binadamu, wanastahili second chance. Wakiomba kujiunga na CDM wapewe sharti la kuomba msamaha watanzania kwa siku tatu mfululizo na kurudisha fedha walizoiba then waingie tu kundini. Huenda wakawa na mchango mzuri tu wa kujenga taifa letu.

umeiba comment yangu ndo nafungua laptop nikakuta ushaniwahi but aluta continua. ila ntafurahi sana wakiwafukuza ili litimie neno la baba wa taifa kwamba upinzani wa kweli utaanza sisiem itakapokatika vipande maana mapacha 3 hawatakubali kuishi bila siasa. wadau mliopo Dodoma mtujuze kama kuna yeyote kamuona Lowassa na Chenge
 
what you guys do not know is that lowassa controls chadema and he has been supporting it for years. It is not a question of whether he will join it but rather, a question of when will he make his move public? Get more details from absalom kibanda.

political propaganda!msipoteze muda kuhangaika na huyu mtu!
 
Back
Top Bottom