Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
Wabunge 14 wa uingereza wamemtaka raisi wa shirikisho la soka duniani (FIFA ) ajiuzulu kwa kile wanachodai matamshi yasiokubalika ya ubaguzi wa rangi. Naona dhana ya kujivua gamba limekwea pipa mpaka ughaibuni. Lakini bado najiuliza nini maslahi ya uingereza kwenye hili mpaka wanasiasa wanaingia?
Source: BBC World tweets
Source: BBC World tweets