Mkurugenzi wa ATCL David Mattaka astaafu Rasmi, Amrushia Dr Slaa Kijembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi wa ATCL David Mattaka astaafu Rasmi, Amrushia Dr Slaa Kijembe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ogwari, May 23, 2011.

 1. O

  Ogwari Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege la Tanzania (ATCL) Bw David Mattaka leo ametangaza kuwa amestaafu rasmi kwa mujibu wa sheria baada ya kufikisha umri wa miaka 60

  Amewaambia wanahabari ofisini kwake kuwa amelazimika kutangaza hadharani jambo hilo kufuatia tetesi kuwa ameshinikizwa kujiuzulu na Dr. Slaa pamoja na nguvu ya UMMA kutokana na ufisadi
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  huyu jamaa ni fisadi sana anajulikana waziwazi
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bravo Dr. Slaa. Dr. Slaa atawatafuna mafisadi popote walipo.
   
 4. m

  mshanga New Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumegee vizur mdau, ni lini Dr Slaa alimlipua huyo? anadhani kustaafu mapema anaweza kuokoka kama kweli alikua fisadi? au ndo kubebana kama alivyobebwa mjomba Beni?
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  dah, afadhali vijana wetu wa kiume sasa watapumzika maana naskia jamaa alikua ........... dah
   
 6. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,905
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Kinachouma shirika kasaidia sana KULIFIKISHA LILIPO=LIMEPIGA MAGOTI kama siyo kuwa ICU...Na hakuna anachofanywa!! Mafao yake atapata na inawezekana wakati wa party ya kumuaga ukasikia wanampatia SIFA YA UTUMISHI ULIUOTUKUKA!!!! Jamani tuwe na mechanism ya kuwajibisha MIJIZI HII:-(
   
 7. d

  dotto JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Manake nini !!??
   
 8. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,223
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Atapewa uenyekiti na ujumbe wa bodi nyingi tu za wakurugenzi wa mashirika / mamlaka mbalimbali ya serikali.
   
 9. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Yani kama hujui tabia za Mattaka basi humfahamu vizuri...
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,233
  Likes Received: 3,152
  Trophy Points: 280
  Habari zilizo tufikia hevi punde zina sema mkurugenzi wa kampuni ya ndege ya atcl amejiuzulu rasmi kuyanziia leo kwa habari zaidi tutawaletea baada ya kuzungumza na press.
   
 11. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkuu Pdidy unaharakishia wapi? mbona unaandika kiswahili kama kijaluo? asante kwa taarifa though!
   
 12. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,514
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  Tanzania hamna kustaafu...mtashangaa anapewa kitengo
   
 13. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,514
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  Tanzania hamna kustaafu...mtashangaa anapewa kitengo ingali kuna vijana wamesoma na hawana hata ajira yoyote,nchi hii!
   
 14. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,616
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Mbona amwendani na motto ja JF!
   
 15. a

  andry surlbaran Senior Member

  #15
  May 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mataka anatabia gani ukiachia ufisadi? Usinambie alikua ana wa mombasa vijana wetu??
   
 16. m

  m.o.d.y Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ebana ndugu, huyu mzee si ndio nasikia bingwa wa kuzibua mitaro hapa mjini.!
   
 17. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #17
  May 23, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,936
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  mie najua ufisadi wake wa kulifilisi shirika tu, huo mwingine wa vijana wetu wa kiume kupumzika ni upi? km ni tabia za ubasha kwani kustaafu ndo kuacha?
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  May 23, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkurugenzi wa ATCL yenye ndege 2 bora kama amempunzika maana alikuwa analipwa tu pesa za walipa kodi huku shirika likiwa ni mzigo
   
 19. m

  m.o.d.y Member

  #19
  May 23, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyo mzee ni bingwa wa kuzibua mitaro.
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  May 23, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Pesa za kuwahonga watoto wa kiume zitakuwa zimeisha
   
Loading...