Nafasi ya wasomi ktk miaka hamsini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya wasomi ktk miaka hamsini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by adabet, Nov 30, 2011.

 1. a

  adabet Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii miaka hamsini sio tunasherehekea kwa kucheza ngoma ,kuvaa tisheti,kubeba mabango ya kupongeza ujinga na kujipatia pa diemu, ukiwa kama msomi ni muda wa kuji evaluati usomi wako umetumikaje kuikomboa jamii, sio unasema tu tuna amani hebu tuache fikra butu, difinisheni ya amani inaanzia kwenye mind ya mtu, kukichafuka kichwani kwa mtu ndipo hata amani ya nchi inakuwa hatiani, sasa hebu angalia matatizo yanayomkabiri mtanzania ndiyo yatakayopelekea mtanzania kuthubutu na kukosa uzzalendo kwa nchi yake isiyokuwa na uzalendo naye,shime kwenu wasomi tumieni muda na kisomo chenu kwa kuelimisha na kuufumbua macho jamii,
   
 2. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  nice food for thought!!! hichi ndicho kinanifanya nionekane punguani mbele za wenzangu, ninapopishana na opportunities nikisimamia facts!
   
 3. N

  Nyamanoro JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 577
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60

  Wasomi wetu miaka 50 ya uhuru upande wa maendeleo ya sayansi na teknolojia wamefanya kama hawa waganda? ambao juzi wamezindua gari walilotengeneza wao wenyewe? ukiacha mambo ya assembling?

  The car is good. What is happening at Makerere is a renaissance; you fellows are waking up from a long slumber,” President Museveni told the university dons after launching the Kiira EV.
   
 4. s

  sawabho JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Hakuna huo muda, kila msomi anawaza kuingia kule ambako atakuwa na uhakika wa kupata mkate wake wa kila siku.....MJENGONI!!!
   
Loading...