Uongozi wa juu wa chadema uangalie masuala haya kwa makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi wa juu wa chadema uangalie masuala haya kwa makini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Nov 30, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Taarifa kutoka ndani ya chama makao makuu zina sema kuwa kumejitokeza mgogoro wa kiuongozi ndani ya chadema kufuatia tofauti za maamuzi katika masuala kadhaa ya kitaifa.kumekuwa na kuvumiliana kwa kiasi kikubwa lakini wadau wanaeleza kuwa sasa hali imekuwa tete na haivumiliki tena.moja ya masuala ambayo yamekigawa chama ni pamoja na uamuzi wa chama kutuma ujumbe kwenda ikulu kuonana na rais.wapo waliopinga na wengine waliafiki lakini sasa walipinga wanahoji nini faida yake kwa chama kufuatia hatua ya rais kuusaini tofauti na msimamo wa cdm ambayo ilipinga.suala lingine linalokitafuna chama ni mgogoro wa madiwani arusha kufuatia uamuzi wa chama kuwafukuza uanachama madiwani wake watano.katika ngazi ya taifa wapo wanaopinga hatua hiyo kwa maelezo kwamba uamuzi huo umekiumiza chama.suala lingine ni posho kwa wabunge ambapo wapo wanaopinga na wengine wanaunga mkono......jambo lingine kubwa ni harakati za kuelekea uchaguzi mkuu ndani ya chama mwaka 2014 ambapo nafasi inayoleta vuta nikuvute ni ya uenyekiti.wapo wanaopenda mwenyekiti aliyepo madarakani agombee tena wengine wanasema angeondoka hata leo...aachie vijana waonyeshe vipaji...

  my take;nawashari viongozi wangu watulie na kuwa wamoja katika masuala haya ili chama kiendelee kukua..kuteleza si kuanguka..
   
 2. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  CDM kutofautiana lazima kuwepo katika mambo ambayo yanahusu watu wengi. Ninachowaasa CDM, lengo la kutofautiana liwe kusonga mbele na si kurudi nyuma.
  Kitu cha msingi: Every CDM top leader has to play altruisim- you sacrifice your interests for the benefit of CDM. You sacrifice your life for the survival of the species -we say in ecology
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Haya ni mambo ya Chadema tuwaachie wenyewe .Umeleta hapa mjadala huu sina hakika unataka nini maana kama hizi issue ni huko ndani na si ni JF faida gani sasa ?Au umewapelekea copy ya maandiko yako kwa utekelezaji ?
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Nadhani umejiunga humu kwa mission kamili
   
 5. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu umesema vyema hata jina lake ni tete kweli kweli
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu Lunyungu.

  Ili ni jukwaa la siasa tunajadili issue za siasa muache jamaa hatupashe habari
   
 7. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Nadhani Hojatete ana dhamira nzuri. Kuwataadharisha watu unaowapenda si vibaya. sasa naona mnaanza kumshambulia. Ana dhamira nzuri, wawe makini CDM kusudi mitazamo tofauti isije leta mafarakano, waivumilie.
   
 8. FUKO LA DHIKI

  FUKO LA DHIKI JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 416
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kutofautiana ndio ukomavu.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  lunyungu,kujiunga JF is free of charge lakini si lazima u comment kila thread,kama huna la kusema lala.great thinkers wanasema "Intallectuals never shout but urgue" naomba nisikutathmini,jitathmini mwenyewe.
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mimi na mchumba wangu sometimes tunatofautiana sembuse kusanyiko kubwa la vichwa vitupu kama cdm????????????????
   
 11. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dau kiasi gani unalopewa kwa hii deal! maana huko mihela tu! Lakini ebu fikiria, unapokuwa na kiongozi ambaye kwanza muongo, kigeugeu, aambiliki,mzinzi, mdini, mchonganishi na mshirikina unategemea deal yako itakuwa poa? Ikiwa aligeukwa mamvi wewe nani bana! U done ! bora uipotezee hii!
   
 12. G

  Galinsanga Member

  #12
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni kawaida makosa kutokea kadri kundi fulani linapojielekeza na maaamuzi mbali mbali.
  Isipokuwa kukaa chini na kutafakari, kujikosoa ni jambo la kawaida ( hata huko CCM kuna madudu kibao).
  Lengo kuu ndilo linafaa kuwa focused daima.
   
 13. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Conflicts are the engine of social change!
   
 14. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hivi kwa nini hoja kama hizi huwa zinaletwa na watu waliojiunga ndani ya wiki au siku 3????????
   
 15. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hujatumwa ila umejituma.
   
 16. H

  HAKI bin AMANI Senior Member

  #16
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi ya ibilisi kujifanya ndugu yako anakupenda kumbe mwongo/mchochezi. Ulikolalia ndiko walikoamkia wenzio. 'Ujenzi mpya plan ya zamani'.
   
 17. s

  sanjo JF-Expert Member

  #17
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kutofautiana katika namna ya kufikia lengo ni kitu cha kawaida ndani ya chama cha kisiasa. Lakini cha muhimu hizo tofauti hizi lazima ziwe katika mfumo uliokubalika na chama. Si vizuri kwa mwanachama au mjumbe awe mtu wa kukubali kwa kila hoja iletwayo hata kama ana mtazamo tofauti.
   
 18. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,572
  Likes Received: 18,384
  Trophy Points: 280
  Mkuu Lunyungu, Chadema ni chama cha kitaifa, yaani ni public party na kinalipwa na fedha za walipa kodi, nikiwemo mimi wewe na yeye hata kama sio mwanachama. Kwa vile Chadema are paid by taxpayers money, the public has the right to know its public and private affairs kwa sababu ya kodi zao.

  Kama mambo si shwari, yangekuwa ya chumbani, yasingetoka nje, maadam yameshuka hadi humu, now its a public concern!.

  Mimi binafsi concern zangu kuhusu chama chetu hiki nilisha ziandika, japo wengi hunibeza, kwa vile its the plain truth, the truth will always prevail. Kwa mfano mpaka bado Chadema haijatoa taarifa kuhusu ile evening tea party na ile ile breakfast party ya pale ikulu, tulichoweza kuona ni jinsi tuu walivyosmile kwenye picha ya pamoja as if walipewa pipi!.

  Baada ya taarifa ya para mbili, tunasubiri taarifa ya kina, kujiridhisha kama ile move was the right move na sio kujikomba komba kwa JK!.

  Kwa upande wangu, nitaendelea kuandika makala za mitazamo yangu kuhusu mambo mbalimbali, ila nawashauri Chadema, kama kuna mahali wamefanya makosa, sio dhambi kukubali udhaifu, kurekebisha makosa na kusonga mbele.

  Ule muswada tata, sasa ni sheria, there is nothing anybody can do short ya kutoa ushirikiano kwa tume!.
   
 19. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #19
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  They are always here. They in a MISSION IMPOSSIBLE. Wasikuumishe kichwa, Tanzania ya leo si ya 1995 walifanikiwa kuingiza fitna za kuivuruga NCCR na kumaliza umaarufu wa CUF. CDM sidhani kama wataweza kwani CDM si viongozi waliomo bali ni Wananchi wanaokiona kama Chama halisi cha ukombozi wao.
   
 20. S

  SINA Senior Member

  #20
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 167
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hayo ndiyo mawazo yasiyojenga. hata kama amejiunga saa moja iliyopita unapaswa kujadili hoja kama unaona haifai unatoa sababu ambazo kwa waliowengi watazielewa. wewe umejiunga 2010 kuna watu wamejiunga mda mrefu kuliko wewe kwa hiyo wakudharau. Tatizo lenu mashabiki wa CDM hampendi challenges kitu ambacho mtakuja kupata faida yake mda si mrefu. kuhusu posho sio Siri Shibuda aliongea kikao kilichopita na Juzi tu mbunge wa Rombo kwa tiketi ya CDM kataka posho iongezwe wakati huohuo Zitto kalalamikia hiyo posho kwamba haina haja sasa hauoni kama kuna tatizo hapo? kama kweli kuna demokrasia mbona zito alitaka kugombea uenyekiti wazee wakamwambia hajitoe sasa haoni kama kuna msuguano. MFICHA MARADHI MAUTI UMFICHUA
   
Loading...