NCCR na CHADEMA LIVE mahojiano Radio Wapo Redio... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NCCR na CHADEMA LIVE mahojiano Radio Wapo Redio...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kula kwa tindo, Nov 30, 2011.

 1. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wabunge wa CHADEMA na NCCR Wanatolea ufafanuzi/tamko juu ya msimamo wao baada ya Rais kutia saini Mswada..
   
 2. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Baada ya sahihi ya Rais. Hakuna jipya.
  Hiyo tayari ni sheria.
   
 3. W

  WildCard JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mbona John Mrema na Waitara sio Wabunge?
   
 4. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  tupe hbr mkuu
   
 5. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Hii radio naweza kuipata Arusha
   
 6. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Utatupa updates ndugu, wengne tupo mbal sana
   
 7. M

  Mwansiti Omari Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hata kama ni sheria bado kuna nafasi ya kuifanyia marekebisho hiyo sheria kama walivyokubaliana baada ya raisi kukutana na CDM
   
 8. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tatizo CCM hawajui mapungufu yaliyopo katika huu mswada. Ni wavivu wa kusoma..
   
 9. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Rais kawapiga changa la macho tu! Hiyo haitabadishwa zaidi ya hapo. Magwanda tulie tu kwakuwa imekula kwetu. Hata hivyo tunashukuru kwa kunusa pilau ya ikulu ingawa watumishi wa ikulu waliishia kutunywesha juisi ya ukwaju.
   
 10. B

  Bukutonaga JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nchi inaangamia jamani kwa viongozi hawa vigeugeu juzi wamempa mwonekano halisi wa mswaada gani wa-tz tunautaka jana kaibuka tu na kuusaini. Mungu isaidie TZ yetu but tutafika tu tunapo pataka.
   
 11. i

  ikindo Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 25
  Du! hii kali yaani hiyo sheria iliyosainiwa eti munasubiri ifanyiwe marekebisho?.Kweli Afrika mokili mobomba.
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  sio mokili mobimba tu na kila mtu atakula inde monie yake.
   
Loading...