CHADEMA: mpango mkakati uandikaji katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA: mpango mkakati uandikaji katiba mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kweleakwelea, Nov 30, 2011.

 1. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  way foward:

  INAWEZEKANA MUDA ULIKUWA MDOGO, AU ILIKUWA NI MAPEMA KWA WAJUMBE WA CHADEMA KUWEZA KUTATHMINI USHIRIKISHWAJI WAO KATIKA FOLLOW UP YA MCHAKATO MZIMA.......

  LAKINI NI UKWELI KUWA YALE YALIYOJADILIWA NA PANDE MBILI YAANI SEREKALI NA CHADEMA YAMEONEKANA KATIKA UJUMBE HUU..................

  LA MSINGI SASA NI KUWA

  1. NI UKWELI KUWA MCHAKATO HUU BADO UNAWEZA KUWA NI MALI YA SEREKALI.......

  HIVYO

  1. CHADEMA WANAPASWA KUANDAA MPANGO MKAKATI - STRATEGIC PLAN WA KUHAKIKISHA KUWA WANAISIMAMIA SEREKALI KUFANYA YANAYOTAKIWA KAMA WALIVYOKUBALIANA....MPANGO MKAKATI HUWA UNAAINISHA WAZI WAZI KUWA NINI KITAFANYIKA LINI, NA NI NANI ATAKIFANYA, AKITUMIA RASILIMALI ZIPI, AMBAZO ZITATOKA WAPI...ILI KUFANIKISHA MALENGO YAPI...NA BAADA YA HAPO MAFANIKIO YATAPIMWA VIPI...KWAVIGEZO VIPI....NA NI LINI ZOEZI LINATAKIWA KUWA LIMEKAMILIKA!

  MPANGO HUU MKAKATI NI VYEMA UKARATIBIWA NA CHADEMA KWANI NDIO WAWAKILISHI WA WANANCHI WENGI WENYE MAPENZI MEMA NA NCHI YAO MARA KWA MARA TUTAWATUMA CHADEMA KURUDI IKULU MAMBO YANAPOKUWA SIO MAMBO.

  cHADEMA WAO WASHIKE USUKANI NA MPANGO MKAKATI HUU UHUSISHE VYAMA VYA KITAALUMA NA ASASI MBALI MBALI ZINAZOHUSIKA NA MCHAKATO HUU - - - KAMPENI, UELIMISHAJI, NK NK

  PIA CHADEMA WASIMAMIE KWA KARIBU URATIBU WA ZOEZI ZIMA ILIKUEPUKA UKUSANYWAJI MAONI WA KISANII NA USIO WENYE UWAKILISHI...........

  DESIRED OUTPUT (MILESTONE) ZA STRATEGIC PLAN
  EG NI LINI KIWE TAYARI HII NI BORA ZIKAWAKILISHWA KWA RAISI ILI AWALI YA YOTE MAKUBALIANO YAFANYIKE KUHUSIANA NA TIMEFRAME...................KWA VYOYOTE SEREKALI NA TAASISI ZAKE ZINATAKIWA KUWA SEHEMU YA MPANGO MKAKATI WA KUANDAA KATIBA MPYA.........

  MAKUBALIANO HAYA YA KUSIMAMIA MCHAKATO WA KATIBA YAWASILISHWE KWA WANANCHI ILI IWE MKATABA KATI YA SEREKALI NA UMMA.....

  TUSIPOLIFANYA HILI BASI HIZI SIKU MBILI TULIZOENDA IKULU TUMEENDA KUCHEZA KIDUKU NA UMMA KUKOSA UMILIKI WA MCHAKATO, KITU AMBACHO NINAAMINI KABISA NDICHO TULICHOKIFUATA PALE IKULU!

  NAOMBA KUWASILISHA!

  MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kujikomboa waTZ kuna kazi
   
 3. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yap! kumbe zipo njia kibao hili ni zuri sana Tanganyikans wake up! tusikate tamaa.
   
 4. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Lakini hapa hii mijitu inayojifanya nchi hii yao pekee, haitaingilia suala hili na kupiga marufuku! kumbuka sheria iliyopitishwa inavyosema yeyote ule atakae entervein mchakato wa ukusanyaji maoni adhabu yake si umeiona! huoni kama viongozi wote wa cdm watahukumiwa chap chap! ikiwa watainfuence zoezi hilo.
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Chadema wamechemka sna na kitendo chao cha kukimbilia kumuona Rais bila kuwasiliana na wananchi. JK naye kawakomoa kwa kusaini muswada kinyume na ahadi yake ya kutoupitisha.
   
 6. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Raisi kigeugeu, mwongo, aambiliki,mchonganishi,mwizi, muuwaji halafu mzinzi! Duh! unategemea nini ukiwa na kiongozi wa namna hii?? a huge blunder since independence.
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama ana hayo maovu yote basi tena
   
Loading...