Mpigie simu mbunge wako...

nakuomba umpigie mnyika umweleze haya maneno uliyosema hapo juu.
then unipe jibu lake.
 
Inashangaza sana! wabunge ni kati ya watu wanalipwa better nchi hii. Kitendo cha kuwaongezea malipo ya aina yoyote ile na kuwaacha watu kama walimu na police wakiwa katika lindi la ufukara halieleweki!
 
Mbunge wangu keshabadili namba za simu mara tatu, hizo alizoandika kwenye profile yake ni boya tu.

Tunamsubiri akosee njia aje Jimboni tu, jasho litamtoka!
 
nakuomba umpigie mnyika umweleze haya maneno uliyosema hapo juu.
then unipe jibu lake.
Selasini, Mr. II, Shibuda, Wachungaji, Rejia, n.k.

Wanasiasa wetu ni wasaka tonge tu. Inapofika kwenye posho wanakuwa kitu kimoja. Sasa kwa hili tutawaona ni wapi wanawaonea huruma Watanzania kutoka nafsi za mioyo yao. Hapa hakuna CCM wala CDM hapa kuna utashi wa mtu mmoja mmoja. Makamba na Zitto wapo pamoja; Selasini, Shibuda na wabunge wengi wa CCM wapo pamoja. Hakuna Chama hapa hapa tutawapima watu na kuwahukumu kwa unyang'au wao. Kuongezana posho wakati huu ni unyang'au tu hauna lugha nyingine.
 
Jana Mhe. Halima Mdee alikuwa akihojiwa na EA Radio, akarejea msimamo wa chama wa kupinga mfumo wa posho. Wao kama wabunge wanaweza kususa hizo za mjengo, lakini Jairo na Ngeleja wakaendelea kusaini mil. 4. Wanachopinga CDM ni mfumo wa posho mu-serikali ambao un'toa mianya ya watu kujilipa faranga nyingi!
 
Tunawataka mmoja mmoja si kichaka cha chama. Posho zitaktugawa.
 
Inashangaza sana! wabunge ni kati ya watu wanalipwa better nchi hii. Kitendo cha kuwaongezea malipo ya aina yoyote ile na kuwaacha watu kama walimu na police wakiwa katika lindi la ufukara halieleweki!
this nchi cant stop amazing me aisee.....
 
Wahenga walishasema "Kila mwamba ngoma ,ngozi huivuta kwake", "maji hufuata yaliko mengi", "Aliyekando, haangukiwi na mti" "Anayeonja asali, huchonga mzinga" "Apewaye ndiye aongezwaye" "Kila mlango na ufunguo wake" "Kila ndege huruka na mbawa zake" "Kuku havunji yai lake" "Mchovya asali hachovi mara moja" "Mtegemea nundu haachi kunona" "Mtondoo haufi maji" "Mwenye shibe hamjui mwenye njaa" "Mwomba chumvi huombea chunguche"

Na hicho ndicho wanacho fanya wabunge kilichonenwa na wahenga, wanajiona kuwa walichumia juani na sasa wanastahili kulia kivulini.
 
Mimi nikisikia habari za wabunge na mapesa, namkumbuka assistant minister mmoja from Kenya who summarized that
"If you feel MP's are being paid heftly, then join the parliament. If you are in the parliament and you feel you have enough then give a chance to your colleagues."
 
Jana Mhe. Halima Mdee alikuwa akihojiwa na EA Radio, akarejea msimamo wa chama wa kupinga mfumo wa posho. Wao kama wabunge wanaweza kususa hizo za mjengo, lakini Jairo na Ngeleja wakaendelea kusaini mil. 4. Wanachopinga CDM ni mfumo wa posho mu-serikali ambao un'toa mianya ya watu kujilipa faranga nyingi!

Kwa hiyo anamaanisha tuwaache tu waendelee kula kwa vile sio kosa lao ni kosa la kimfumo, na hata wakisusa wao Jiaro atakula!
 
Back
Top Bottom