CUF wasaliti wa wazanzibari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF wasaliti wa wazanzibari!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JOB SEEKER, Nov 21, 2011.

 1. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jf

  Mnamo mwaka 2001,CUF ilifanya maandamano makubwa Zanzibar

  kwa nia ya dhati ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

  Katika maandamano hayo watu zaidi ya 70 Walipoteza maisha huku

  katibu mkuu wa chama hicho Maalim Seif akinjika mkono yote hayo

  ni katika kudai haki na ukombozi wa mzanzibar dhidi ya uonevu wa

  serikali iliyokuwa madarakani.

  Hakuna anayebeza harakati za CUF hata kidogo,walifanya mambo ya

  msingi ili kutetea demokrasia katika visiwa vya zanzibar mwaka 2001

  Lakini cha kushangaza wana CUF Wamesahau walichokuwa

  wanapiganiana, kulilia mwaka 2001,Haingii akilini utawezaje kupata

  katiba mpya juu ya mfumo uliopo sasa,Tume zinazochaguliwa na

  Raisi zimekuwa chanzo cha maovu,utawezaje kupata katiba mpya juu

  ya Tume ya uchaguzi inayoratibu shughuli za katiba, iliyochaguliwa

  na Raisi ambaye ni kiongozi wa chama cha siasa na utendaji

  umekuwa mashakani kwa miongo kadhaa,Cuf inasapoti haya

  pamoja na mengine mengi, Wanzibar baadhi yao walipoteza maisha

  kama ishara ya ukombozi,wengine waligeuka wakimbizi katika nchi

  yao.Je walikuwa walilia katiba mpya kwa mifumo iliyokandamizi kama hii ???

  CUF walichokuwa wanalilia nini ?? tamaa ya uongozi au

  wananchi,kwanini walikuwa wanapinga katiba iliyopo kwani ilipakana

  katika njia ambazo ni kandamizi ambapo njia hizo ndizo

  wanasapoti sasa ili kupata katiba mpya, wamewasahau wananchi wa

  wazanzibar na huu ni USALITI Unaotakiwa kupingwa.

  Wanatakiwa kujua kwamba muafaka wao na ccm siyo chanzo cha kuwasaliti

  wazanzibari bali nakujiona sehemu ya ccm bali kutetea walichokuwa wanakiamini

  na siyo kutetereka CUF HATUHITAJI BORA KATIBA BALI TUNAHITAJI KATIBA BORA.

  JOB SEEKER
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Zanzibar ni vigeugeu, mi ndio maana nawakodolea tu pua langu, maana naogopa kuwakodolea jicho, hawakawii kukuweka mjiti
   
 3. s

  semundi Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kama kweli wazanzibar wataliona hili nadhan watasema kitu, mi yangu macho maana nikisema nitaonekana chadema
   
 4. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  CUf baada ya kulambishwa sukari wa uongozi zanzibar imepelekea wao kula kiapo cha kulinda penzi lao na mumewe CCM. Huu ni usaliti mkubwa na ni funzo kwa CHADEMA kupinga serikali za kikoloni mamboleo zinazokuja kwa majina ya UMOJA WA KITAIFA.
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Wazungu wanasema if you cant beat them, join them. Wao wamegeuza, if cant beat them MARRY them. Ushauri kwa jamaa zangu CUF ni kuwa mapambano ya ukombozi yanahitaji uvumilivu na sio kulegea baada ya kuahidiwa madaraka. Wanao kula bata saivi ni Maalim Seif na wenzie wachache wakati maelfu ya wazanzibari hawana mtetezi,
   
 6. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,575
  Likes Received: 4,690
  Trophy Points: 280
  Maalim Seif hajawahi shiriki maandamano hata mara moja, yeye alikuwa anawajaza jazba wana -CUF wakishakolea yeye anapanda pipa anaenda kula bata ulaya anasikilizia tifu likitulia anarudi hapo Star light hotel, aliyewahi kuvunjwa mkono no Profesa Lipumba.Huyu Maalim damu za wapemba waliochinjwa na mbwa wa CCM zitamlilia mpaka anaingia kaburini, msaliti mkubwa
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bora CUF ambao ndoa yao iko wazi na ni rasmi. Chadema wanaoshirikiana na kutumiwa na mafisadi ni wabaya kuliko hata hao CUF.
   
 8. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unaikumbuka list of shame ya mwembe yanga inavyozidi kuisambaratisha CCM hadi leo? Ukijibu hilo utatambua CUF wamefunga ndoa na mume wa aina gani.
   
 9. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jf

  Mnamo mwaka 2001,CUF ilifanya maandamano makubwa Zanzibar

  kwa nia ya dhati ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

  Katika maandamano hayo watu zaidi ya 70 Walipoteza maisha huku

  katibu mkuu wa chama hicho Maalim Seif akinjika mkono yote hayo

  ni katika kudai haki na ukombozi wa mzanzibar dhidi ya uonevu wa

  serikali iliyokuwa madarakani.

  Hakuna anayebeza harakati za CUF hata kidogo,walifanya mambo ya

  msingi ili kutetea demokrasia katika visiwa vya zanzibar mwaka 2001

  Lakini cha kushangaza wana CUF Wamesahau walichokuwa

  wanapiganiana, kulilia mwaka 2001,Haingii akilini utawezaje kupata

  katiba mpya juu ya mfumo uliopo sasa,Tume zinazochaguliwa na

  Raisi zimekuwa chanzo cha maovu,utawezaje kupata katiba mpya juu

  ya Tume ya uchaguzi inayoratibu shughuli za katiba, iliyochaguliwa

  na Raisi ambaye ni kiongozi wa chama cha siasa na utendaji

  umekuwa mashakani kwa miongo kadhaa,Cuf inasapoti haya

  pamoja na mengine mengi, Wanzibar baadhi yao walipoteza maisha

  kama ishara ya ukombozi,wengine waligeuka wakimbizi katika nchi

  yao.Je walikuwa walilia katiba mpya kwa mifumo iliyokandamizi kama hii ???

  CUF walichokuwa wanalilia nini ?? tamaa ya uongozi au

  wananchi,kwanini walikuwa wanapinga katiba iliyopo kwani ilipakana

  katika njia ambazo ni kandamizi ambapo njia hizo ndizo

  wanasapoti sasa ili kupata katiba mpya, wamewasahau wananchi wa

  wazanzibar na huu ni USALITI Unaotakiwa kupingwa.

  Wanatakiwa kujua kwamba muafaka wao na ccm siyo chanzo cha kuwasaliti

  wazanzibari bali nakujiona sehemu ya ccm bali kutetea walichokuwa wanakiamini

  na siyo kutetereka CUF HATUHITAJI BORA KATIBA BALI TUNAHITAJI KATIBA BORA.

  JOB SEEKER
   
 10. M

  Malova JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  waambie waelewe wakifanyacho
   
 11. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  wivu mbaya sana kumbe1
   
Loading...