Baada ya kufuatilia kwa kina swala la uundwaji wa katiba mpya ukiwemo mchakato wa kuunda hadi kuisaini sheria mpya ya katiba, nimegundua kuwa hakuna mwenye nia ya kweli (utashi wa kisiasa) katika...
Kuna taarifa kwamba, vikao vya awali vya CCM mjini Dodoma vimeanza kwa kuwahoji vijana kadhaa wa UVCCM wanaotajwa kuwa karibu na Watuhumiwa wa ufisadi walotakiwa kujivua gamba.
Haijafahamika...
Nimefurahi kwamba kwenye website ya chadema kuna namba 15710 unaweza kuchangia pesa moja kwa moja na unashiriki katika ukombozi. Kama ni mteja wa tigo, voda au airtel tuma neno chadema kwenda no...
Wakuu, nimezinasa nyaraka hizi ambazo nimeziambatanisha kama attachment toka kwa sosi wangu ndani ya CDM na nimeona niwashirikishe:
Mosi, CHADEMA imemwambia Rais atumie mamlaka yake kwa mujibu...
Kuna kongamano la chadema bukoba.mh.Mdee ni mchokoza mada mkuu.pamoja na mambo mengine ataongelea na kufafanua msimamo wa chadema kuhusu mswaada wa katiba.tuko live radio vision.
Wana Ukumbi.
Nafikiri ni vizuri sana kuweka mjadala wa wazi kuhusu uundwaji wa katiba mpya na ufahamu wa katiba kati ya Chadema na CUF zanzibar. Na ningeshauri wahusika wawe Mh Abubakar Bakari...
Sihitaji kuwa usalama wa taifa wala mwanasiasa mashuhuri kujua Kitakachotokea baada ya mkutano na raisi wenu, wenu ndio kwani raisi wetu ni yule anayejua matatizo yetu, yeye na nukuu (Mwenyewe...
Taarifa zinasema kuwa mamlaka ya mawasiliano nchini TRCA kesho Ijumaa Desemba 2.2011 itaendesha mkutano wa watangazaji nchini huku mada kuu ikiwa ni mabadiliko kutoka mfumo wa utangazaji wa...
Mara kwa mara tumeona na kusikia John Mnyika akikaimu nafasi ya Katibu Mkuu wa CHadema.
Protokali ziko wazi kuwa Naibu Katibu MKuu hupaswa kukaimu nafasi ya Katibu Mkuu pindi katibu Mkuu anapokuwa...
Wakati "mwananchi wa kawaida" anakandamizwa kwa rungu kubwa la kodi, mfumuko wa bei na gharama za juu za maisha kiujumla, serikali ya CCM muda huu ipo uwanja wa Uhuru inatumbua fedha kwa shughuli...
Tumeamua kujitoa kwenye mchakato mzima wa kuratibu Marekebisho ya Muswada wa Sheria ya Katiba kutokana na Rais kukiuka makubaliano yetu Ikulu yaliyomtaka aupitie kwanza kabla ya kuusaini. (Mh...
AIDS Day Shinyanga
Awali ilitarajiwa kuwa JK kama mgeni rasmi, baadaye kidogo akakabidhiwa Mtaalam wa Nyuklia nae kama akatolea nje hivi kisha akakabidhiwi Pinda naye sijui kakumbwa na masahibu...
Wakuu,
Naona katika Chama cha Magamba wana utaratibu wa kuvuana magamba mara baada ya kutuhumiwa! Mimi naona JK naye avuliwe gamba kwa tuhuma za aibu za kuhongwa suti na wamiliki wa Kempinsky...
Serikali ya Uingereza iko tayari kusaidiana na serikali ya Tanzania kuhakikisha kuwa mtu mmoja mmoja walioshiriki katika wizi wa Rada wanafikishwa mahakamani hii ni kwa mujibu wa Bunge la...
Tanganyika yaibuka CECAFA bila Rais.
Michuano ya Chalenji mwaka 2011 imeibua jambo kubwa sana katika akili yangu, na huenda ikaibua mambo mazito sana kwa watanzania wanaofikiri. Michuano hii...
Tanganyika haina cha kujivunia katika miaka 50 ya uhuru. Badala yake kila mtu anaye ongelea uhuru wa Tanganyika hatamaliza bila kuutamka uwanja mpya wa dar es salaam bila kujua huu uwanja ni wa...