Uwanja mpya wa Taifa ni mbuzi wa kafara kwenye miaka 50 ya Uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwanja mpya wa Taifa ni mbuzi wa kafara kwenye miaka 50 ya Uhuru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dubu, Dec 1, 2011.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Tanganyika haina cha kujivunia katika miaka 50 ya uhuru. Badala yake kila mtu anaye ongelea uhuru wa Tanganyika hatamaliza bila kuutamka uwanja mpya wa dar es salaam bila kujua huu uwanja ni wa muungano. wasanii wa mziki na maagizo kazi zao hazikamiliki bila kuuonyesha uwanja wa Taifa. vyombo vya habari bila uwanja mpya habari ya uhuru hijakamilika. Zanzibar wanatangaza Ngome kongwe je Tanganganyika mnatangaza nini? na miaka 50 ya muungano mtajisifia kwa lipi?
  MNAJICHORESHA SANA. OVER
   
Loading...