Changia CHADEMA Kupitia No 15710, Kuwa Sehemu ya Ukombozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changia CHADEMA Kupitia No 15710, Kuwa Sehemu ya Ukombozi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Nov 28, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nimefurahi kwamba kwenye website ya chadema kuna namba 15710 unaweza kuchangia pesa moja kwa moja na unashiriki katika ukombozi. Kama ni mteja wa tigo, voda au airtel tuma neno chadema kwenda no 15710 na utakuwa umechangia sh 350. Hawajataja tigo kweye web ila ukituma inakubali.

  Nawakumbusha tena chadema, tupo wengi wakereketwa wa mageuzi tumechoshwa na ccm. Anzisheni harambee maalum kwa njia ya simu ili tuweze kuchangia unzishwaji wa TV, Radio na Gazeti la chadema. Mkitangaza vizuri kwenye magazeti, mikutano ya hadhara, TV , Radio na mitandao ya kijamii kama hii mtaweza kupata bilions na tutakuwa na vyombo vyetu vya habari. Mkianzisha tu siku ya kwanza nitatoa 100,000 na wengine wengi wapo tayari. Do something before it is too late plzzzzzzzzzzzzzzz.
   
 2. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  aliyenacho anaongezewa...posho wanazopata haziwatoshi tuwaongezee na za kwetu!! Kweli tanzania ya wezi tu. mimi siko tayari kutajirisha chama cha wachaga wa kishimundu..wizi mtupu. Ukombozi wa nchi hiii hauko mikononi mwa chadema. Tuwachangie afu waingie mitini kam babu wa loliondo.. Acheni wizi. Watanzania sio mbumbumbu..
   
 3. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Chadema hii ya MUAFAKA aka CAF mke mwenza..?
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mkuu, ninawapongeza cdm kwa hiyo hatua. Sio jambo dogo ingawa najua limeanza kabla ya uchaguzi mwaka jana. Binafsi nakubaliana na wewe kuhusu cdm tv. Natamani wafungue a separate number for that na nipo tayari kuchangia 100,000! That is for real na ninaisubiri kwa hamu kubwa sana. Namwomba sana Regia Mtema na Dr. W P. Slaa waseme lolote hapa maana ni Members hapa na ni wahusika wakuu kwenye hili.
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Sipo tayari kuwachangia wachaga. Ruzuku wanazopewa wanafanyia nini?

  Posho wanazopewa wanafanyia nini?.

  Huu ni wizi wa wazi wazi. Sipo tayari kuchangia hata kumi.
   
 6. josam

  josam JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 1,754
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Naunga mkono hoja kuchangia CHADEMA na maoni ya ndg kuanzisha vyombo vyake vya habari
   
 7. N

  N series Senior Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli ukerewe ni ukerewe tu. . . !
  Hvi kumbe bado akili yako haijafunguka?
  Na bado unatumia mtumbwi kufikiri?
  Kweli kilaza wew. . . !
  Wew Product ya cameroon sio?
   
 8. S

  Stany JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Naunga mkono hoja
   
 9. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  CDM kitachangiwa na wananchi wa kawaida na si mafisadi waliokubuu ndani ya CCM, swala la wewe kuwa na hasira na CDM inaonyesha CDM anakupokonya maslahi yako au ya baba yako au ya mama yako au mjomba n.k.....

  Tuachie CDM yetu sisi watatzania wa kawaida tuliochoshwa na ukoloni wa CCM,

  Naunga mkono hoja, Peoples power..............
   
 10. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Duniani kuna watu na viatu kweli, haki'anani!
  Mimi nina wasi wasi humu ndani kuna watu wana usernames mbilimbili, siamini kama umejiunga 2 weeks ago.
  Maana huna tofauti na kina FF, Rajeo, Ritz na wengine wenye magamba ya type yako.
   
 11. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Naunga mkono hoja !viva Chadema viva makamanda wote!
   
 12. A

  Anne deo JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  sina shaka na weewe nahisi unatumia masaburi kufikiri,haujalazimishwa sijaona haja ya uo udaku.
   
 13. twahil

  twahil JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 3,590
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  Siungi mkono hojo.Naomba dr w.p slaa aniahidi kutopokea mshahara wa sh 7.3 m kwa mwezi na marupurupu kemkem hapo nitachangia.Hivi nyinyi mnaotaka tuchangie cdm mnakumbuka vizuri kilichompoteza Chacha Wangwe?.Pesa inaliwa makao makuu na wajanja kwa kisingizio cha harakat za ukombozi,kumbe ni harakat za tumboni.
   
 14. M

  MWANAKASULU Senior Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  NAUNGA MKONO HOJA KWANI KUWA NA VYOMBO VYA HABARI VYA CDM NI SEHEMU MHIMU WA KUFIKISHA UJUMBE WA CDM MOJA KWA MOJA KWA WANANCHI BILA KUCHUJWA WALA KUCHAKACHULIWA. MFANO TBC1 HUWA HAIONESHI VYA KULIDHISHA MAANDAMANO YA CDM/MIKUTANO YA CDM.HATA WAKIONESHA NI FASTER ET HBR IMEISHA.HILI WAZO NI ZURI TENA VIONGOZI WA CHADEMA HAKIKISHENI KABLA YA UCHAGUZ WA SERIKALI ZA MITAA CDM IWE NA KITUO CHA REDIO,KITAKACHOKUWA NA UWEZO WA KUSIKILIZWA VIJJ VYOTE VYA TZ COZ VITUO VINGI VYA REDIO VINAISHIA MIKOA KADHAA TENA MIJINI TU AMBAPO KAZI KUBWA IKO VIJIJINI.

  :spy: :A S 465:
   
 15. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ms/mr. twahil,....
  Pole sana!
  Wenye kupenda ukombozi tutachangia tu...tutachanga mpaka tupate vyombo huru ambavyo vitasaidia kuwaelimisha watz wajitambue hasa watu kama wewe ili waelewe kuwa hata kama wanafaidi makombo ya mafisadi hayadumu...wasioelewa nisemayo wakawaulize watu wa igunga,monduli na musoma vijijini hasa kipindi hiki cha njaa.
   
 16. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watanzania wenzangu Chadema wanataka kuchangiwa nini tena, wakati bungeni posho imeongezwa kutoka 70,000 hadi 200,000, kwa siku...
   
 17. p

  politiki JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  imeshasemwa ni mchango wa hiyari jamani nyie wabongo wengine vipi ? mabilioni yanaliwa kila siku na wajanja serikalini mbona upigi
  kelele tena zinazoliwa ni za kwa ajili ya kuwekea dawa mahospitalini na kadhalika nenda basi kamfungulie kesi chenge kwa kuiba mabilioni ya shillingi na kuyaficha nje ya nchi kama kweli una uchungu na pesa za wananchi. once again huu ni mchango wa hiyari.
   
 18. J

  Jahnido Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja
   
 19. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  harakati gani za ukombozi mkuu. Ukombozi wa kuwajaza ndg zao na watoto kwenye ubunge viti maalum.

  Nakuunga mkono mkuu.
   
 20. i

  ibange JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kikubwa tunawaomba viongozi wa chadema wachukulie seriously wazo hili
   
Loading...