JK naye avuliwe gamba kwa tuhuma za kuhongwa suti!

LordJustice1

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
2,263
530
Wakuu,
Naona katika Chama cha Magamba wana utaratibu wa kuvuana magamba mara baada ya kutuhumiwa! Mimi naona JK naye avuliwe gamba kwa tuhuma za aibu za kuhongwa suti na wamiliki wa Kempinsky! Tuhuma za kukwapua mafungu ya EPA ya kumsaidia kuingia kwenye Jumba letu la Magogoni tutamsamehe bure!
Nawasilisha!
 
hii ishu ya suti ilimpatia ban mkuu Amiliki.. ngoja waje makada wa ccm wajibu hoja..
 
napita tu ila changanya na zako
 
hii ishu ya suti ilimpatia ban mkuu Amiliki.. ngoja waje makada wa ccm wajibu hoja..

Jamani haya mambo yalianzia WikiLeaks, sasa mambo ya BAN yanatokea wapi? Au wanaostahili kuvuliwa magamba "kwa tuhuma za ufisadi" wametajwa kabisa kwa majina kwenye Katiba?
 
Huo ni uzushi,ni chuki binafsi unaolenga character assasination.JK HAWEZI KUHONGWA SUTI
 
Huo ni uzushi,ni chuki binafsi unaolenga character assasination.JK HAWEZI KUHONGWA SUTI

WikiLeaks anamchukia JK? (umekusudia kutuchekesha au unatetea kitumbua chako kwa machozi?) Labda utusaidie kutuelewesha wanafahamia wapi. Mimi sidhani katika mamilioni ya watu duniani na umaarufu wao, WikiLeaks wamchague ******, kawakosea nini?

Lkn usijali man, hauko peke yako. Na kudhihirisha wingi wenu, kura zilimrudisha magogoni. Naionea tu huruma CCM siku mtakayopata akili, sijui nani atawapigia kura
 
Back
Top Bottom