Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Nov 19, 2011.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kuna taarifa kwamba, vikao vya awali vya CCM mjini Dodoma vimeanza kwa kuwahoji vijana kadhaa wa UVCCM wanaotajwa kuwa karibu na Watuhumiwa wa ufisadi walotakiwa kujivua gamba.

  Haijafahamika kama vijana hao watakua kafara la baba zao ama ndio kipima joto cha maamuzi magumu yanayotarajiwa kufanywa wiki hii. Hakika mwandishi mahiri wa makala katika Raia Mwema alisema, "mbele giza nyuma kaburi" na sasa uamuzi wa kurudi nyuma ni CCM kuingia kaburini na kwenda mbele ni gizani maana magamba yana nguvu za ajabu na kila kukicha yanakua magumu.

  Je, CCM itaamua kuingia gizani kuvua magamba ama kurudi nyuma na kuyaacha iwe ni kaburi la CCM?

  Taarifa zaidi baadae.

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. m

  mnyakyusa JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tupe zaidi kitakahojiri
   
 3. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pamoja mkuu, endelea kutujuza. mimi naomba mungu ata wapigane risasi uko dodoma.
   
 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Tupo pamoja kaka/dada. Tunafuatilia kila hatua. Ubarikiwe
   
 5. M

  Msharika JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  :canada:
   
 6. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm ikiwezekana jamani kifie huko dodoma wiki hii ili tz ipone.
   
 7. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Natabiri
  - Lowassa atang'oka. Kung'oka kwake kutaleta mpasuko mkubwa CHADEMA wengine wakitaka aalikwe CHADEMA na wengine wakiapa "over my dead body".
  - Sitta atapewa karipio kali, na kwa kuwa ni ndumilakuwili ataufyata.
  - Chenge is not as powerfull as those two, yeye ataondolewa kirahisi na haraka sana.
  - Itapangwa mikakati mikali ya kuhakikisha SUGU anang'oka Mbeya kwa hali na mali, haswa baada ya kuitwa Rais wa Mbeya.
   
 8. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #8
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Usilale kijana, komaa mpaka mwisho tupate mambo!
   
 9. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Naomba uendelee kutupa updates mkuu,hii ndo jamii forums unapata bila chenga.
   
 10. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #10
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii.
   
 11. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 667
  Trophy Points: 280
  Si wapigane wao kwa wao tuone yupi atakaelindwa na FFU
   
 12. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  tia chaka haraka iwezekanavyo haya mafisadi . Nalog off
   
 13. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hakuna jipya litalotokea hapo, sana sana maridhiano na kusameheana na kuanza kuimba wimbo wa sisi sote ni ndugu.
   
 14. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #14
  Nov 19, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,974
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkulu hatatoa orodha mpya ya wanaofuatia kwenye mpango wa kupewa polium -210?
   
 15. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  baada ya kuona dalili zote za kuvuliwa gamba. Sasa wanatumia vijana wa ccm kuwaokoa. Sasa wametumwa dodoma kuweka mikakati ya vijana kumlilia baba yao
   
 16. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Fred Lowasa, Julius Kalanga ( chair uvccm monduli), Isack Kadogoo ( Diwan Monduli), James Millya (chair uvccm mkoa arusha) wako kazini mjini Dodoma
   
 17. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #17
  Nov 19, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Leo mchana nikijadiliana na mbunge mmoja wa CCM kutoka mkoa wa Dar, aliniambia wazi kwamba, Lowassa hawezi kufukuzwa chamani, kwani ndiye anayeunganisha chama. Kabla ya EL kungo'lewa gamba, mwenyekiti atakuwa wa kwanza kwani matatizo lukuki ndani ya chama na taifa yametokea katika utawala wake. Amesema udini, ufisadi, umasikini, siasa ya makundi yameendelezwa na mwenyekiti wa chama na siyo Lowassa, kwa maana hiyo gamba kubwa ni Rais mwenyewe na siyo EL.

  EL akingo'lewa basi tutaelekea kwenye uchaguzi mara moja na CCM itakufa kwa maana 70% ya wabunge CCM wanamuunga mkono EL. JK hawezi kumgusa EL na anajua hilo
   
 18. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #18
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa sugu watachemka.
   
 19. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #19
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,604
  Likes Received: 18,643
  Trophy Points: 280
  2015, piga ua galagaza, rais lazima atoke Kaskazini!
   
 20. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #20
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makubwa haya!
   
Loading...