CHADEMA are u serious...

Eng. D

Member
Jul 13, 2011
31
6
Sihitaji kuwa usalama wa taifa wala mwanasiasa mashuhuri kujua Kitakachotokea baada ya mkutano na raisi wenu, wenu ndio kwani raisi wetu ni yule anayejua matatizo yetu, yeye na nukuu (Mwenyewe sijui kwaninin wananchi wangu masikini).

Kweli Mnyika hawakuliona hili, kila kikao kina minutes zake so za kikao hicho zikwapi ili tuweze kuwaelewa hainingii akilini kuishia kulaumu raisi msanii wakati hauna ushaidi toka mbele ya jamii utueleze usanii wake badala ya kulumbana kama watoto au wajinga

Baadhi ya makosa yenu:
Mikutano mnaifanya siku mbaya kwann msifanye mkutano siku ya madhimisho ya miaka 50 ya uhuru
posho mnakataa harufu mazikubali

Limebaki kosa moja tu mimi niachane kabisa na siasa na hata jukwaa hili.
 
Umeishiwa hoja. Tanzania is full of your kind, most of them wapo ccm.
Yani upoupo tu, husomi, hujaribu kuelewa wala hutaki maarifa. Unataka munites za kikao?? Akili za chiriku hizi....kwani bunge lile? Unataka hansard?
 
Tanzania kama uijuavyo! Ili ujue CHADEMA wako Serious subiri kitakachotokea!

Lakini pia lazima tukiri kwamba kilichofanywa na M.kwere halikuwa suala la chadema, bali issue ya umma wa watanzania wote. CCM wamebaka demokrasia live!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom