Maadhimisho ya kuzima mwenge live TBC1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maadhimisho ya kuzima mwenge live TBC1

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kitonsa, Dec 1, 2011.

 1. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwenye tv TBC1 wanaonyesha live kutoka uwanja wa Uhuru
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Hakuna mwana JF anayeweza kupoteza muda wake kuangalia maadhimisho ya moto.
   
 3. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Waziri wa ustawi wa jamii wa zanzibar anaongea mwenge tangia unaanzishwa umekuwa na mafanikio makubwa
   
 4. Mwache77

  Mwache77 Senior Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Auko mbali na ukweli uwanamaliza fedha za watanzania kwa makusudi
   
 5. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Waziri anangea upupu tu anapongeza tu mafanikio ya mwenge aongelei maambukizi ya ukimwi yanayofanyika wakati mwenge unakimbizwa
   
 6. s

  semako Senior Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenge umezindua miradi mingi sana,lakini tathimini ifanyike kuangalia kama miradi hiyo inaendelea baada ya mwenge kupita.Kuna bomba moja kwenye wilaya moja maarufu kwa madini ya dhahabu mkoani MBY,lilitoa maji siku moja tu ya mwenge baada ya hapo no water;Sasa ni siasa au?
   
 7. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  hakuna alshabaaab leo........
   
 8. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Waziri kamaliza kwa kupongeza mwenge
   
 9. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Dk nchimbi anaongea
   
 10. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Anampongeza kikwete kwa kuwepo kwenye hiyo shughuli
   
 11. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hizo ndizo shughuli hasa za Rais wa nchi kama hamjui. Hizi zingine za kukimbizana na mafisadi hazipendi kwa kweli
   
 12. MANI

  MANI Platinum Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280

  Wanakuwepo kukiwa na maandamano ya CDM tu kwa akili za polisi !
   
 13. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ujumbe wa mwenge wa uhuru ni maadhimisho ya miaka 50 wa uhuru wa tanzania bara -Nchimbi
   
 14. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  nimesikia kuwa unakabidhiwa kwa team ya watu watakayopanda nao mount klm na si kuzimwa.
   
 15. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Eti unampango wa kusaidia vijana kupambana na maisha kivipi mwenge utasaidia hajasema
   
 16. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mwakani utawasha mbeya na kuzimwa shinyanga-nchimbi
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Nipo Ughaibuni lakini naipata TBC vizur kuliko nikiwa hapo bongo. Huyu DG wa sasa hiv anastahili pongezi
   
 18. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mwenge ndio unaingia kwa ajili ya kuzimwa na kikwete
   
 19. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kikwete anaenda kutambulisha kwa wakimbiza mwenge
   
 20. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mudi mussa kutoka kusini pemba .vick kutoka mara. Deo kutoka dar. Hatibu kutoka unguja wapo wengi wanatunikiwa cheti na kikwete
   
Loading...