Je Itasaidia Kuleta Katiba Mpya yenye manufaa?

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
“Tumeamua kujitoa kwenye mchakato mzima wa kuratibu Marekebisho ya Muswada wa Sheria ya Katiba kutokana na Rais kukiuka makubaliano yetu Ikulu yaliyomtaka aupitie kwanza kabla ya kuusaini.” (Mh. John Mnyika)
Na karecomend kabisa " hatutafanya maandamano bali tutapeleka mapendekezo tuliyokubaliana na Mh. Raisi kwa wananchi na kuwaelimisha jii ya hili"

Je hii itasaidia kwa mustakabali wa katiba yenye manufaa kwetu?
 
Riot is the language of unheard! CDM nao hawajasilizwa kwenye mapendekezo yao sasa inabidi wasusie maana ndio lugha itakayosikilizwa na watawala baada ya ile ya diplomat kushindikana
 
Kazi ipo sana kwasababu wananchi wanapenda mabadiliko, lakini kuyatafuta na kushiriki katika mabadiliko hayo ni wazito
 
Back
Top Bottom