Nyaraka: Mkutano wa CHADEMA na Rais Kikwete - Ikulu ya Dar es Salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyaraka: Mkutano wa CHADEMA na Rais Kikwete - Ikulu ya Dar es Salaam

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Nov 28, 2011.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Wakuu, nimezinasa nyaraka hizi ambazo nimeziambatanisha kama attachment toka kwa sosi wangu ndani ya CDM na nimeona niwashirikishe:

  Mosi, CHADEMA imemwambia Rais atumie mamlaka yake kwa mujibu wa ibara ya 97 akatae kusaini muswada kwa sababu zilizoelezwa kwenye sheria hii.
  Pili, iwapo serikali haitafanya mabadiliko katika muswada husika CHADEMA haitashiriki mchakato ambao hautaleta katiba bora badala yake itaendelea kuunganisha nguvu ya umma kutaka mabadiliko ya msingi.
  Tatu, CHADEMA imetaka suala la sheria hii lisiwe la mapendekezo ya CHADEMA pekee ila mjadala wa muswada huu urudi kwa wananchi na wadau wengine ili kuwa na wigo mpana wa marekebisho.
  Nne, wakati marekebisho yakisubiriwa, CHADEMA itaendelea na mikutano nchi nzima katika ngazi mbalimbali ili kutoa elimu ya uraia kwa umma kuhusu sababu za kupinga muswada wa mabadiliko ya katiba uliopitishwa na bunge ili kuuandaa umma kwa hatua za ziada kwa kadiri ya maazimio ya kamati kuu ya chama.

  Barua ya awali ilitoka kwa Dr. Slaa na kusambazwa nchi nzima, na mapendekezo attachment ni yale waliyoyapeleka Ikulu (17pages).

  Kazi ni kwenu!!!!

  =============

   

  Attached Files:

 2. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duuh.....Mkuu big up!
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Hivi, Zanzibar iliungana na Tanganyika zikatengeneza Tanzania. Tanganyika ilipotelea wapi?
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Uchokozi huooooooooooooooooo! wenyewe huwa hawataki hilo liongelewe, huwa wanapata kichefuchefu na kizunguzungu!
   
 5. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Ukisoma mikinzano iliyopo kati ya Katiba ya Zanzibar na ya Tanzania bara unajikuta unahitaji mwanasheria kutueleza nini kinaendelea Tanzania.

  Si ajabu ndo maana tunatumia leseni za aina mbili na zote zinakubalika, noti za aina mbili na zote zinakubalika. Kila kitu OVYO!
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mficha maradhi, kifo humuumbua. Labda ndo maana watu wanarusha mashambulizi kwa Lissu badala ya hoja za Lissu.
   
 7. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Good work!!
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Safi hii ndio tunataka kusoma, coming soon
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Juma Duni Haji alikuwa analijibu swali hilo kupitia ITV usiku huu.

  Alimtaja Nyerere kuwa ndiye aliyeifuta Tanganyika na waraka alikuwa nao mkononi anausoma, siukumbuki ni upi.
   
 10. p

  politiki JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Taarifa nzima imeshiba maslahi ya Taifa Tupu asanteni CDM kwa kuweka maslahi ya Taifa mbele.
   
 11. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  I wish ... Tungepata kwa KINA makubaliano Rasmi Kati ya Rais na CDM yaliyofikiwa kutokana na nyaraka hizi!!
   
 12. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Kaka,

  Unaweza kutusaidia kwa kuwasiliana na JDH tupate uthibitisho wa maneno haya?
   
 13. LOWE89

  LOWE89 Senior Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Huo ni muziki mnene, wenye uwezo waucheze!! Tunaambiwa tujadili kuuboresha jinsi ulivyo!! Kazi kwelikweli!!!!
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Wamekubaliana kutokukubaliana.
   
 15. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Subiri tu; tutayapata. Haipiti Ijumaa
   
 16. p

  politiki JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kuna kipindi fulani kama unakumbuka watu walikuja juu kutaka kuona waraka mzima wa muungano lakini serikali yetu ndio hivyo tena kila kitu ni siri. lakini sasa umefika wakati kila kitu kiwekwe wazi mkataba uliosainiwa na nyerere na karume tunataka tuuone ili tujue wazi nini kilichomo ndani yake.
   
 17. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Kikwete ndie anayetaka kiua Tanganyika kwa kifo cha Mende kwa kutaka kutotambua hata uhuru wa Tanganyika na kudai wa Tanzania bara. Historia itamuhukumu sana huyu m.k.were
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Hapana, Dada.

  Nadhani ukiwapigia ITV watakusaidia zaidi jina la kipindi, sikumbuki nimekuta kati na ni cha mahojiano ya watu wawili. Hata hiyo JDH sijui ni mdudu gani?
   
 19. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Umewahi kusoma thread hii?

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/1438-muungano-na-kero-zake-tuuvunje.html

  Uka-download attachment hii?

  https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=5120&d=1246436738

  [​IMG]
  Mkataba wa makubaliano ya kuanzisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukisainiwa mwaka 1964.
   
 20. n

  noma Member

  #20
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  noob big up sana, naendelea kuusoma
   
Loading...