Maswali kwa Mhe. Mnyika na CHADEMA

Maswali kwa Mhe. Mnyika na CHADEMA

AMARIDONG

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2010
Posts
2,501
Reaction score
189
Naheshimu viongozi wangu na siipingi chadema ila kuomba na kukutana na raisi kikwete kulikuwa hakuna maana yoyote kwani hakuna kilichobadilika,mswada umepitishwa na bunge na kusainiwa na raisi kama ratiba ya magamba ilivyokuwa,nafikiri kwa hili la kuomba na kukutana na raisi tena mara mbili halikuwa la msingi.

Ni bora kukaa kimya kama nssr au kuleta jambo hili kwa wananchi moja kwa moja lakini kukutana na raisi na kumshauri ni sawa na kuchukua kesi ya ngedere na kumpelekea tumbili.

Na sasa nafikiri ilikuwa bora kukaa bungeni na kujadili mswada kuliko kutoka kwani mnakimbia kwa shangazi (bungeni) huku mnaomba kukutana na mjomba(Ikulu) sio sawa

Tubadilike hili lisijitokeze tena ni lazima tusome nyakati na misimamo ya magamba hasa wakati huu ambapo chama chetu kinakua kwa kasi

Jk na makinda ni pete na chanda
 
Umenena mkuu ,hata mimi nilishangaa sana cdm kuomba kukutana na prezdaaa ila nilikuwa nasubiri nione haka kamchezo katampata nani ila kwa haraka kamempata chadema

nimeona picha za magwanda wakifurahia kupozi na mkuu wa magamba mmh inanipa shaka ila naamini tutarudi kwa mstari
 
Huo ndio unafki mlikuwa wapi siku zote msishauri mpaka mkulu amesaini ndio mnaanza kusema cdm wamekosea??

Magamba nyie mko kazini
 
Katika Hali ya Kawaida Ukitaka Kufanya Mambo yaende Vizuri siku zote Jaribu Njia Ya mashauriano na Ikishindikana Hii njia ndio Unachukua Njia Nyingine!! Unakumbuka Hata waliotaka Kumtoa Gaddaffi Walimuomba sana Wafanye Mashauriano au La astep down!! Yeye Ghadaffi akawadharau na Kuwaita Panya!! Ila kwa sasa Tunaona Panya wameweza Kuangusha Kabati!!!
 
CDM hawajafanya makosa hapo. Ushauri waliotaka umfikie mtu anayeitwa raisi umemfikia sasa kama ule ushauri utaumwaga shauri yake.
Na hapo ndo CDM wanaweza kuanza kampeni yao kwa uzuri kabisa.
 
Katika Hali ya Kawaida Ukitaka Kufanya Mambo yaende Vizuri siku zote Jaribu Njia Ya mashauriano na Ikishindikana Hii njia ndio Unachukua Njia Nyingine!! Unakumbuka Hata waliotaka Kumtoa Gaddaffi Walimuomba sana Wafanye Mashauriano au La astep down!! Yeye Ghadaffi akawadharau na Kuwaita Panya!! Ila kwa sasa Tunaona Panya wameweza Kuangusha Kabati!!!

Umesema vyema kijana .What Chadema did ni kitu ambacho kila mtu atakisema baadaye .Chadema kuingia barabarani kupinga sasa wataeleweka zaidi kuliko ambavyo ingalilkuwa without seeking to meet the Prez na siasa si uadui ni utofauti wa mawazo na mitizamno .
 
SEMENI MSEMAVYO ILA UKWELI NI KUWA CDM ILICHEMKA KUOMBA KUKUTANA NA KIONGOZI WA MAGAMBA TENA TULIYEMKATA AKUWA SIO RAISI HATUMTAMBUI

leo tunamtambuaje na uchaguzi bado??
 
'ha ha ha arawa kweli tusaidie hili, tunakuahidi kwa kweli babangu na sie tukipata ukuu tutakujali aisee'... 'ha ha haa ingawa mkiwa kwenu huwa mnanitukana na kunibeza lakini msijali tuko pamoja wapinzani wangu
 
NAHESHIMU VIONGOZI WANGU NA SIIPINGI CHADEMA ILA KUOMBA NA KUKUTANA NA RAISI KIKWETE KULIKUWA HAKUNA MAANA YOYOTE KWANI HAKUNA KILICHOBADILIKA,MSWADA UMEPITISHWA NA BUNGE NA KUSAINIWA NA RAISI KAMA RATIBA YA MAGAMBA ILIVYOKUWA,NAFIKIRI KWA HILI LA KUOMBA NA KUKUTANA NA RAISI TENA MARA MBILI HALIKUWA LA MSINGI.

NI BORA KUKAA KIMYA KAMA NSSR AU KULETA JAMBO HILI KWA WANANCHI MOJA KWA MOJA LAKINI KUKUTANA NA RAISI NA KUMSHAURI NI SAWA NA KUCHUKUA KESI YA NGEDERE NA KUMPELEKEA TUMBILI.

NA SASA NAFIKIRI ILIKUWA BORA KUKAA BUNGENI NA KUJADILI MSWADA KULIKO KUTOKA KWANI MNAKIMBIA KWA SHANGAZI (BUNGENI) HUKU MNAOMBA KUKUTANA NA MJOMBA(IKULU) SIO SAWA

TUBADILIKE HILI LISIJITOKEZE TENA NI LAZIMA TUSOME NYAKATI NA MISIMAMO YA MAGAMBA HASA WAKATI HUU AMBAPO CHAMA CHETU KINAKUA KWA KASI

JK na makinda ni pete na chanda

Mkuu CHADEMA was right 100%. Strategically inawapatia upper hand kuwa wao si watu wa vurugu kama ambavyo Magamba wamekuwa wakitaka kuwafanya wawe. Ila ni watu wa kudai haki kwa njia za ustaarab na wakishindwa wanawarudihia agenda wananchi. Sasa kitakachotoka kwa wananchi wa kulaumiwa si wao ni yule aliyewapuuza.
 
Katika Hali ya Kawaida Ukitaka Kufanya Mambo yaende Vizuri siku zote Jaribu Njia Ya mashauriano na Ikishindikana Hii njia ndio Unachukua Njia Nyingine!! Unakumbuka Hata waliotaka Kumtoa Gaddaffi Walimuomba sana Wafanye Mashauriano au La astep down!! Yeye Ghadaffi akawadharau na Kuwaita Panya!! Ila kwa sasa Tunaona Panya wameweza Kuangusha Kabati!!!

Mkuu niwachache wenyekutambuwa hayo cdm wamemaliza lolote litakalo tokeya atabebeshwa jk ameonyesha kutowajali
 
CDM ITASIMAMA IMARA SIKU ZOTE NA ITASIMAMIE KWELI KWA NJIA YOYOTE HATA KUFUNGWA JELA ,KUUAWA NA KUFA,SIKU ZOTE UKWELI NDIO NGAO YETU

JK TULIMFUATA ILI KUMUAMBIA UKWELI LAKINI YEYE KAONYESHA DHAHIRI UDIKTETA WAKE HAIJALISHI BADO TUPO HAI TUTAENDELEA KUPAMBANA MPAKA KIELEWEKE

hakuna kulala mpaka tumeingia IKULU
 
Najua hili neno la kupakatwa wa cdm wengi huwa hampendi kulisikia, ila kwa hili la katiba cdm imepakatwa

Katika Hali ya Kawaida Ukitaka Kufanya Mambo yaende Vizuri siku zote Jaribu Njia Ya mashauriano na Ikishindikana Hii njia ndio Unachukua Njia Nyingine!! Unakumbuka Hata waliotaka Kumtoa Gaddaffi Walimuomba sana Wafanye Mashauriano au La astep down!! Yeye Ghadaffi akawadharau na Kuwaita Panya!! Ila kwa sasa Tunaona Panya wameweza Kuangusha Kabati!!!

Siyo pamoja wa nchi hii. Hawana meno. Tusubili kwanza yaote
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Nilikuwa sikubali kama CHADEMA walichemsha kuomba kukutana na president sasa naamini kama ndo haya waliyokubaliana haina maana
 
wamechemka na sasa wamekuwa CCM C hahahaaaaaa upende usipende
Mkuu, wahenga walisema asiyejua maana, haambiwi maana. CHADEMA wamefanya kitu kizuri ambacho mwenye uwezo wa kuzichambua duru za kisiasa watasema well done CHADEMA!Kabla ya kususa mjadala wa Katiba kule bungeni, wakaacha ushahidi wa msimamo wao ktk Hansards za bunge.Wakaona pia wasiishitaki serikali kwanza kwa wananchi bila kujibu swali tarajiwa kutoka kwa hao wananchi kwamba Je? mliishauri nini serikali kuhusu sheria hiyo ya mchakato wa katiba mpya nayo ikakataa hadi kuamua kuishitaki kwetu? Majibu wameshayapata; mapendekezo yetu tulimkabidhi Mhe. Rais akayakataa.Kwa hiyo mnaobeza ni kwamba, hamjausoma bado huo mchezo mkauelewa!Ni sawa na mchezo wa chess.
 
CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA forever. Ni chama imara na kina sera imara
 
humu watu wengine wanafuata upepo tu lakini ni damu ya kijani isipokuwa wanaogopa kujitokeza hadharani. huwezi ukasema cdm wamekosea either kwa kutoka bungeni ama kwa kumwona mheshimiwa rais. tuache unafiki jamani tuangalie je hiyo sheria iliyopitishwa inamapungufu ama haina? kama haina basi ndo tuwalaumu chadema lakini vinginevyo hawana makosa yoyote tutambue kudai haki hakuna lelemama si mnaona hata vyuoni mpaka wanafunzi wagome ndo matatizo yanatauliwa.

Ni kazi kweli kulitoa gamba hili
 
Back
Top Bottom